Mlionidhihaki na Kudai Mimi ni Yanga SC pale nilipotoa Angalizo la Kiufundi kuihusu Simba SC naomba na leo endeleeni Kunidhihaki tena!

Umeandika pointi ya msingi sana hapa...wachezaji wa kigeni karibu wote wakija Tanzania mpira wao unakwisha kwa sababu ya mijike ya kitanzania na hasa ile ya Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo, Sinza na kwingineko...Wako wapi akina Katalay na Pitichou Kongo...Hata Bernard Mwalala naye yumo kwenye kundi hili....ukiwauliza wachezaji wenyewe wa kigeni watakwambia kuwa katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati hakuna wanawake wazuri kama wa Tanzania..Binafsi huwa nashangaa kwa kauli yao hii..yaani eti hata Rwanda tumewashinda....ila ukichunguza ni kuwa wanawake wa Kitanzania wana sifa ya ajabu mno...hapa siyo suala la hela...kiichopo ni kuwa wanawake au mijike ya Tanzania inapenda 'kuwa' na watu maarufu...utakuta rafiki yangu mchezaji kutoka Kenya alikuwa na lijike pale Sinza lenyewe ndilo linampa hata gari ya kutembelea....Lakini ukienda kwa undani hata wanaume nao ni hivyo hivyo..wanapenda kujihusisha na watu maarufu na hasa wachezaji..utamsikia mwingine akisema leo niloikuwa na Tshisshimbi tulikuwa kwenye baa fulani na nilimpa ofa ya bia...ovyo sana...yaani mashabiki ndio wanaiowaua wachezaji kwa kutoa ofa za kilevi....
Hiki ndicho kilimfanya Nonda Shaban akimbie Tanzania. Akawaacha akina Lunyamila ambaye alimzidi kiwango aendelee kuhangaishana na malaya.
 
1548012554050.png
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu kidogo hizi Timu mbili Kubwa baadhi ya Wachezaji Wao ' Waandamizi ' kabisa hadi Viongozi Wao baadhi ni Marafiki zangu wakubwa na wazuri tu ila kwa Kiwango ' Kibovu ' nilichomuona nacho leo Chama ' Tripple C ' naanza sasa kupata hisia kwamba huenda ile mbinu iliyotumika ' Kumuua ' Kimpira Kiungo aliyekuja vizuri na alikonga nyoyo si tu za Yanga SC bali hata Sisi Simba SC Papy Kabamba Tshishimbi na leo ' Kwishnei ' kabisa.

Wapenzi wa hizi Timu mbili Kubwa walivyo au tulivyo ' Wapuuzi ' tukishampenda tu Mchezaji fulani basi haraka sana tutaanza Kumnunulia Bia, Kumtafutia Mademu tena yale Mashangingi kabisa ( Malaya ) wa Mjini huku ' tukidalalia ' ili Yule Demu akiwa anahongwa basi na Wewe hapo hapo unajua kuna 10% yako.

Kama ambavyo Tshishimbi amepotezwa Kimpira na Mimalaya ya Dar es Salaam, bila kumsahau Mtu mwingine Mshambuliaji Mzambia Felix Sunzu, Boniface Ambani sasa kwa huu ' Umaarufu ' wa ghafla wa Chama naona nae anaelekea huko huko ' Kupotezwa ' na Wajanja Wajanja. Lakini hata Waandishi wa Habari wa Kike nao kwa Kiasi Kikubwa mno wanachangia ' Kuua ' Vipaji vya Wachezaji wengi mahiri na wakubwa wa Ligi Kuu ya Tanzania hasa kwa ' Kujitongozesha ' Kwao Kilazima ili wawe nao na wawe wanapata ' Vijisenti ' vyao lakini pia wawe kama ndiyo ' Sources ' wao Wakubwa Kihabari na kuwarahisishia Kazi zao. Ipo Siku ' Mizimu ' yangu ikinipanda na ikikasirika nitawaanika hao Waandishi wa Habari wote wa Kike ambao wana huu ' Upuuzi ' kwa Wachezaji ila kwa sasa nawastahi kwa Kuwatunzia tu Heshima ila wajirekebishe.

Haruna Niyonzima alikuwa ni Swala Tano kabisa ila nikisema hapa alivyobadilika Kipindi cha mwisho alipokuwa Yanga SC na hata mwanzoni alipokuwa Simba SC wengi mnaweza mkalia bure kama siyo Kusikitika japo kidogo sasa baada ya Kusemwa semwa na Watu wake wa karibu ameanza Kubadilika. Beki kama Nadir Haroub ' Cannavaro ' siyo wa Kutundika daluga sasa hivi ila nae nikiweka hapa hadharani kilichommaliza / kilichomuua Kimpira hamtoamini ila nae namtunzia Heshima yake.

Chama asipowekwa chini, akaonywa na kujitambua sasa hivi nae yatamkumba ya Wenzake Tshishimbi na Niyonzima.
Duu! Mkuu umemwaga nondo
 
Kabisa.. Mtu wa mazoezi apotezi uwezo kwa usiku mmoja
Wabongo uelewa hatuna
Kwelk tupu sisi tumekalia majungu na wivu hatupendi kuona wachezaji wakitafuna vitu vikali sisi tumeshindwa kuvipata,baadala tutafute sababu ya msingi kwa nini viwango vinashuka siye tunaanzisha majungu
 
Back
Top Bottom