Umenikumbusha Slaa alivyotiwa kilema cha mkono na Josefina huko Mwanza, akavunga kadondoka chooni, mpaka leo mkono Umelemaa. Ule ni mkong'oto kutoka kwa Josefina.
Kila kitu cha maendeleo katika Tanzania kafanya zaidi ya Marais wote watatu waliomtangulia na hilo halina ubishi.
yataje hayo maendeleo we ajuza
Ati! Maendeleo ya kumaliza Tembo na kuuza Twiga wetu? Au ya kukwapua pesa za Escrow? Jitahidi mama ukuu wa wilaya unakunyemelea.
Mzee Slaa alipoanguka bafuni mbona hamkututangazia anaugua nini?Basi wangeanguka wengi! Au alikuwa anafanya kazi ya kubeba magunia mpaka akachoka kiasi hicho? Mkubali tuu kuwa afya yake ni mgogoro na sio jambo la ajabu kwa mwanadamu.
Mzee Slaa alipoanguka bafuni mbona hamkututangazia anaugua nini?
Hata wewe FaizaFoxy ukiumwa Kisonono au kaswende usifiche, Tutangazie na toa namba zako za simu ili tukupe pole zetu.Afichae maradhi kifo humuumbua.
Kuhusu kuanguka kwa Rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?
Mzee Slaa alipoanguka bafuni mbona hamkututangazia anaugua nini?
Rais kama binadamu mwingine, kuugua kwake si jambo la ajabu. Tumeshuhudia mara mbili rais akianguka kwenye mikutano ya hadhara ni zaidi ya miaka tisa sasa hata baada ya hapo hatujawahi kitangaziwa ni ugonjwa gani unaomsumbua rais wetu.
Imekuwaje leo, amefanyiwa upasuaji kwenye sehemu za siri za mwili wake ndipo waibuke watu na kuutangazia umma ugonjwa huo? Je hii si kumdhalilisha kiongozi?
Kama nia ilikuwa ni ku-divert attention ya watu toka wizi wa Escrow na kuhamia kujadili rais alikuwa na Tezidume, basi huo mpango umefeli vibaya sana.
Je waliobuni wazo hilo hawakujua kwamba hili suala la Escrow limeshavuka mipaka na kwamba linafuatiliwa na mataifa makubwa sasa na si rahisi kulizima kwa michezo ya kitoto kama huo?
Je imekuwaje rais nae akubali kujitoa kafara ya faragha yake ili kulinda ufedhuli wa Escrow kama hausiki binafsi au mwanafamilia wake?
Hii ni aibu. Rais kwa hili naye inampasa ajipime.
Hata wewe FaizaFoxy ukiumwa Kisonono au kaswende usifiche, Tutangazie na toa namba zako za simu ili tukupe pole zetu.
Kila kitu cha maendeleo katika Tanzania kafanya zaidi ya Marais wote watatu waliomtangulia na hilo halina ubishi.
pia kuanguka ni dalili ya awali ya ugonjwa wa tezi dume! chukua hiyoAfichae maradhi kifo humuumbua.
Kuhusu kuanguka kwa Rais, ulikuwa na uchovu na mchoko wa kufanya kazi bila kupumzika vya kutosha. Hilo lilisemwa au hukulipenda?
kweli mkuu jina la kitaalam ni prostate gland ambazo huzalisha maji maji ambayo yakiungana na mbegu za kiume hutengeneza semen.Tezi dume siyo busha usidanganye watu ni vitu kama vigololi vilivyo karibu na kibofu kwenye njia ya mkojo ambavyo vikilegea au kuvimba vinafanya upate matatizo ya mkojo na ni ugonjwa unaowapata mara nyingi watu wazima.
Raisi wa Tanzania hashauriwi vizuri siku zote.
1. Barabara za lami nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
2. Shule za Sekondari nyingi kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
3. Wanafunzi wa vyuo vikuu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
5. Waalimu wengi kuliko wa awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
6. Huduma ya afya na vifaa vya afya ni bora kuliko za awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
7. Watanzania wengi wana kazi kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
8. Viwanda ni vingi kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
9. Watalii ni wengi kipindi chake na kipato cha utalii ni kikubwa kuliko vya awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
10. Demokrasia ni bora na watu wana uwezo wa kusema wakipendacho kuliko awamu zote za kabla yake ukichanganya pamoja.
Faizafoxy, kama unalipwa kupotosha tumia akili ktk upotoshaji wako. Takwimu zote ulizoorodhesha hapo juu si kazi ya kikwete bali aliyemtangulia kwa maana moja, kikwete alikuta kila kitu kimepangwa na hela zipo za kutekeleza. Isitoshe takwimu zako zote ni lazima zingetokea hata kama raisi angekuwa Ziro kwani kutokana na ongezeko la watu huwezi linganisha na watu waliokuwapo katika awamu zilizopita. Kuhusu ujenzi wa barabara ni mpuuzi tuu atakayemsifia kuwa kajenga lakini ukweli hakuna kilicofanyika zaidi ya ku repea zilizokuwapo na kuongeza ambazo hazina kiwango. Kuhusu viwanda hakuna raisi aliyejenga viwanda vingi na vyenye kujenga uchumi kama Mwl JKN. Hivi viwanda unavyoona ni vile vya nyerere vinafufuliwa na kubadilishwa matumizi. Mimi binafsi ningemsifu kama angerudisha usafiri wa reli kwani hakuna maendeleo bila reli popote Duniani. Mwaka wake wa 10 unaisha Dar ina brbr za vumbi ni aibu kubwa sana. Labda kazi kubwa anayoijua ni kuongeza wanawake kila kukicha ukiwamo Wewe.