TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Wasalaam, wakati wa tawala zilizopita watanzania wengi waliulalamikia mfumo wa uendeshaji wa serikali chini ya Chama Cha Mapinduzi. Wengi wlisikika wakisema kwa mfumo huu hata aje malaika kutoka Mbinguni hakuna mabadiliko katika taifa letu.
Rais John Magufuli, tayari amebadilisha baadhi ya mambo hapa nchini na hata ule utamaduni wetu wa chukua chako mapema unaanza kuondoka taratibu.
Wale wenzngu mnasemaje sasa? Kwa sababu hata magufuli mfumo anaoutumia ni ule ule wa CCM.