Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,861
- 15,837
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata milioni moja inakuwa yako siyo unasomeshea mashemeji, kutibia mkwe na kumlea mke
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata milioni moja inakuwa yako siyo unasomeshea mashemeji, kutibia mkwe na kumlea mke
IF YOU MARRY A GIRL, YOU MARRY HER FAMILY TOO..Ukipata milioni moja inakuwa yako siyo unasomeshea mashemeji, kutibia mkwe na kumlea mke
heheheheheIF YOU MARRY A GIRL, YOU MARRY HER FAMILY TOO..
miaka 50 baadae dunia itakua na binadamu wa ajabu kuwahi kutokeaMnooo yaaan
Tafuteni hela mtapunguza malalamikoFungua nyuzi unazotaka ,tutachangia.
🤣🤣🤣🤣Ukiona mwanaume anaoa ujue mvivu wa kutongoza
KATAA NDOA
Simba kafungwa huko UMESIKIA?Hivi guys do you really mean what you are posting, au ni kuchangamsha jukwaa??
nimeshangaa sana leo, hii ni kama thread ya 8 naona leo kuhusu kupinga ndoa.!
Mi ni avatar yako tu na huo mbinuko.Mnooo yaaan
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Raisi ni nani?Kumbe kuna shirika mmeanzisha na hamsemi? Ofisi zenu zipo wapi?View attachment 2513659
Ngojaaa niitoeee nisikuingizee majaribuni Kaka mzuriMi ni avatar yako tu na huo mbinuko.
Daaaah 😥😥😥
#YNWA
Hapa ndipo penye tatizo kubwa. Ndoa inapaswa kuwa ya watu 2 tu. Hii habari ya kubebeshana mizigo ya ukweni ndiyo watu wengi hawatakiIF YOU MARRY A GIRL, YOU MARRY HER FAMILY TOO..
Hapo ndo miamba inakwambia MARRY AT YOUR OWN RISK.Hapa ndipo penye tatizo kubwa. Ndoa inapaswa kuwa ya watu 2 tu. Hii habari ya kubebeshana mizigo ya ukweni ndiyo watu wengi hawataki
Ngojaaa niitoeee nisikuingizee majaribuni Kaka mzuri