tata nyakiegi walleli mura.Bila shaka wewe ni mmoja wa hao , umejiandikisha tu,kufikisha ujumbe,
Tunaomba ufute kabla hujakamatwa kwa kutoa siri za jeshi lako
Wewe nenda mmj kaulize watakupa full dataBatch iliyopanda cheo na kwenda cheo cha Brigedia jenerali mwaka 2012 akiwemo Luteni jenerali Paul Masao ndio Batch hiyo hiyo alikuwepo pia Jairos Mwaseba
Sasa samahani naomba kujuzwa imekuwaje naliona jina tena la Jairos Mwaseba kuwa kapandishwa na kuwa Brigedia Jenerali mwezi Aprili mwaka huu na mabrigedia wapya akina Sibuti ilihali alishapata kupandishwa cheo cha Ubrigedia Batch moja na Luteni Jenerali Paul Masao
Je Mwaseba alishushwa cheo hapo kabla? Na je kwa wanaojua ni sababu zipi akashushwa cheo ?
Waliokuwa Batch moja mwaka huo wa 2012 pamoja nae wamepanda hadi kufikia kuwa maluteni jenerali
`Batch iliyopanda cheo na kwenda cheo cha Brigedia jenerali mwaka 2012 akiwemo Luteni jenerali Paul Masao ndio Batch hiyo hiyo alikuwepo pia Jairos Mwaseba
Sasa samahani naomba kujuzwa imekuwaje naliona jina tena la Jairos Mwaseba kuwa kapandishwa na kuwa Brigedia Jenerali mwezi Aprili mwaka huu na mabrigedia wapya akina Sibuti ilihali alishapata kupandishwa cheo cha Ubrigedia Batch moja na Luteni Jenerali Paul Masao
Je Mwaseba alishushwa cheo hapo kabla? Na je kwa wanaojua ni sababu zipi akashushwa cheo ?
Waliokuwa Batch moja mwaka huo wa 2012 pamoja nae wamepanda hadi kufikia kuwa maluteni jenerali
Hawa watu ndio wanafanya wewe ulale usingizi na familia yako.Kama sio wao Tanzania hasa Kagera ingekuwa sehemu ya Uganda.Tengua kauli yako tafadhali`
I can understand you guys,your work and how you value it....
But to be honest with you guys,I really hate majeshi yote na maaskari wote no matter who...
In life it happens kuna vitu fulani unaweza vichukia sana,basi majeshi,na wanajeshi wake wote na Usalama,Takukuru,etc..I hate aisee...
I can understand who you guys are,ila Im sorry kwakweli...Ningekuja kua rais ningeyaondoa yote tuwe kama Switzerland!
Hawa watu ndio wanafanya wewe ulale usingizi na familia yako.Kama sio wao Tanzania hasa Kagera ingekuwa sehemu ya Uganda.Tengua kauli yako tafadhali
Kwani kagera kuwa sehemu ya Uganda yeye asingelala usingizi? Mipaka imewekwa na mzungu tu.Hawa watu ndio wanafanya wewe ulale usingizi na familia yako.Kama sio wao Tanzania hasa Kagera ingekuwa sehemu ya Uganda.Tengua kauli yako tafadhali
Kwaio kuoandishwa ama kushushwa cheo ni siri ya jeshini? Duuh kweli bongo bado sanaBila shaka wewe ni mmoja wa hao , umejiandikisha tu,kufikisha ujumbe,
Tunaomba ufute kabla hujakamatwa kwa kutoa siri za jeshi lako
Kwani Kagera ingekuwa Uganda watu wake wasingekuwa wanalala?Hawa watu ndio wanafanya wewe ulale usingizi na familia yako.Kama sio wao Tanzania hasa Kagera ingekuwa sehemu ya Uganda.Tengua kauli yako tafadhali
aliyekuwa Makongo ni mdogo wake huyo anaongelewa..alitoka Makongo Na kuwa mwambata U.S.A,ubalozini.Mwaseba headmaster from Makongo High School
aliyekuwa Makongo ni mdogo wake huyo anaongelewa..alitoka Makongo Na kuwa mwambata U.S.A,ubalozini.Mwaseba headmaster from Makongo High School