Unajua hali ya uchumi za hao Wamasai? Magorofa mengi mjini Arusha, ni ya kwao...na sasa hadi Dsm wanajenga.Watu ea Arusha mna unazi sana na kimkoa chenu, ukifika pale utachoka kinaazia ngarenaro kinaishia ngarenanyuki kwingine kote ni wamasai tu
Ni kweli wengi wafupi na ngozi zao zimepaushwa na jua + joto.Nasema Kwa nchi hii.
Hakuna mji wenye watoto wazuri kama Arusha.
Vitoto vya DSM vingi vifupi
Much know with empty head ndio wewe sasa…. Makalio unaanzaje kuyagawa kama visheti? Tupe uzoefu maana inaoneka wewe ni mtaalamu wa hayo masuala..Labda kwa kugawa makalio kwa wazungu kama wafanyavyo marasta wa chuga.
🤣🤣 masaa manne hayo ungeyatumia usiku maeneo ya sinza usingeyaandika hayaSalama wakuu!
Jana nilipata nafasi ya kuingia JIJI la daslam kwà takliban masaa manne tu na kuondoka.
Aisee jua ni kali sana.
Afu Biashara Dar kumbe ni kama mikoani huku tu,...maduka unasubiri eti mpaka saa mbili na nusu Asubuhi au saa tatu ndio yanafunguliwa, ( katikati ya mji ) Duuuh
Kilichonikera ni lile jua tu!
Kiukweli sikubahatika kuona pisi kali...
Niliona nyingi ni kama za mikoani tu...
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Mmeanza,Yupo sahihi kama ametokea ChugA, darajani kuelekea na kurudi toka huko Duniani..Dar is overrated… nchi ingeendeshwa kimajimbo ChugA ingekuwa kama California.
Ndio barabarani ametandika kisarufeti kaweka kopo la kashata na karanga, uswahilini kienyeji kwenye 1 & 2 usafiri ni kwa ngoko kutoka Buguruni mpaka Makoka kutoka Makoka hadi Mbezi Mwisho kwa kurumia TZ 11Honestly ukitoa wenye pesa zao wana ishi kwenye nyumba za maana walio baki wana force tu kuishi huku wala hawana furaha wana ishi kwenye vibanda tu
Songea kwenye Nini ?muige GSM kazitafuta huko Songea sasa kaja kuzitumia mjini.
Kwenye Biashara.Songea kwenye Nini ?
404: Page Not Found