M Muamu3 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,705 Reaction score 4,546 Aug 8, 2021 #21 wa kupuliza said: Endelea kuamini hivyo hivyo,ndio ponea yako hio. Click to expand... True sijawai kuwaza mi kanda niliosoma paper ikivuja ujue imetokea kilimanjaro na tunabaniana na nilishadharau sana izo mambo nasikia sana hata nilipokuwa chuo kwamba zinavuja Japo ni kweli ila mim kupata ni ngumu
wa kupuliza said: Endelea kuamini hivyo hivyo,ndio ponea yako hio. Click to expand... True sijawai kuwaza mi kanda niliosoma paper ikivuja ujue imetokea kilimanjaro na tunabaniana na nilishadharau sana izo mambo nasikia sana hata nilipokuwa chuo kwamba zinavuja Japo ni kweli ila mim kupata ni ngumu
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Aug 12, 2021 #22 goroko77 said: Tupeane connection wakuu Click to expand... Mnapeanaje connection WAKATI wote mnatafuta connection?
goroko77 said: Tupeane connection wakuu Click to expand... Mnapeanaje connection WAKATI wote mnatafuta connection?