Wamewauliza maswali gani?Wakuu kwema wale walioingia interview leo alfajiri udom ya Customs Officer.
Hyo paper imekaaje wakuu? Ajira tutapata wapi Kama maswali na muda ndio huo.
Dah cjuj yaani mnk nafurugwa naulinimemaliza akiba imekata hatari tupu
Tupeane connection wakuu
Daah paper ya Leo ni noma noma mda finyu kichizi yan ile kufumba na kufumbua Nasikia 5 minutes to timeWakuu kwema wale walioingia interview leo alfajiri udom ya Customs Officer.
Hyo paper imekaaje wakuu? Ajira tutapata wapi Kama maswali na muda ndio huo.
Dah cjuj yaani mnk nafurugwa naulinimemaliza akiba imekata hatari tupu
Tupeane connection wakuu
Weee bongo nyosokuna malalamiko nasikia kua kuna pepa imevuja
Amini mzee pepa ya tax kuna watu walikua nayo haya maisha sio fair kabisa [emoji53]kuna malalamiko nasikia kua kuna pepa imevuja
Vip mkuu ulipiga ngap written?Izo paper jiandae kisaikolojia ungepitia baadhi ya nyuzi humu jamii forum kuna wana wameeleza mi nilijiandaa kabisa na muda maana kuna point nilisikia eti dk 45 ila kwa vile wao wanataka mfeli wanakusanya dk 40 mi nilimalkza kabla ya aroboini nikakusanya haikuwa ngum wengi hawakumaliza ilikuwa mwaka jana
Kifupi mjiandae kisailojia siku nyingine
Nilipita above 50 ila sio kwa kada iyo na paper ilikuwa ngumu kinoma nikapita mpaka oral mpaka sasa nimeajiriwaVip mkuu ulipiga ngap written?
Sasa kwanini wawape paper wkt kuna watu wao aibu, dogo alinambia hakuingia kwenye paper mpk Lily aliyekuw huko saba saba afike ndiyo mzigo ukafunguliwaAmini mzee pepa ya tax kuna watu walikua nayo haya maisha sio fair kabisa [emoji53]
Daaah Hongera mkuuNilipita above 50 ila sio kwa kada iyo na paper ilikuwa ngumu kinoma nikapita mpaka oral mpaka sasa nimeajiriwa
Hukupata pepa Kama wenzako?Izo paper jiandae kisaikolojia ungepitia baadhi ya nyuzi humu jamii forum kuna wana wameeleza mi nilijiandaa kabisa na muda maana kuna point nilisikia eti dk 45 ila kwa vile wao wanataka mfeli wanakusanya dk 40 mi nilimalkza kabla ya aroboini nikakusanya haikuwa ngum wengi hawakumaliza ilikuwa mwaka jana
Kifupi mjiandae kisailojia siku nyingine
Mkuu ulikua Hall lipi?Wakuu kwema wale walioingia interview leo alfajiri udom ya Customs Officer.
Hyo paper imekaaje wakuu? Ajira tutapata wapi Kama maswali na muda ndio huo.
Dah cjuj yaani mnk nafurugwa naulinimemaliza akiba imekata hatari tupu
Tupeane connection wakuu
Izo ishu za kuvuja paper ndo nasikia kwenu mara ya kwanza mi nilienda mda watu wanaingia sijui chochote hall pale duce watu kibao mwaka janaHukupata pepa Kama wenzako?
Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja
Kutoka kwa mdau, Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi. Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper. Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani...www.jamiiforums.com
Rizki tu mungu akipanga ndo ivyoDaaah Hongera mkuu
Endelea kuamini hivyo hivyo,ndio ponea yako hio.Izo ishu za kuvuja paper ndo nasikia kwenu mara ya kwanza mi nilienda mda watu wanaingia sijui chochote hall pale duce watu kibao mwaka jana
Mi siamini izo mambo since nasoma o level