Mliofanya interview ya TRA August 2021, ilikuaje?

Nyatyo

Member
Sep 21, 2017
68
51
Hivi ile interview ya TRA ilifanywa August mwaka jana (2021) hadi ikasemekana pepa imevuja hivi sekretarietya ajira ilitoa majibu gani... au ilikuaje?
 
Hiyo imeshapita maana yake Utumishi wameshafuta yale matokeo baada papers kuvuja
 
Back
Top Bottom