Mliochoshwa na zitto someni hapa

Mliochoshwa na zitto someni hapa

Kipi kilichokuchosha. Kujua maendeeo ya siasa na wanasiasa wa tz?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa! kitachofata

'Kuliko Slaa kuwa Rais 2015 bora mumchague Mgombea wa CCM'- Zitto kabwe.
'Kuliko Zitto kuwa Rais 2015 Bora Mumchague Mgombea wa CCM'-Dkt Slaa

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Zidumu Fikra za Comrade Ndugu Abdul rahman Kinana
 
Wakija wenyewe hapa
 
Tumechoka na ZZK!hana kazi ingine ndio maana anakomalia upuuzi wake!alikubali kuwa msaliti ametumika kama condom sasa!si aende kwa waliomdanganya?
 
Back
Top Bottom