Ukitaka fungua thread mpya then uliza kwa wadau, hata macho hayakuonyeshi kwamba nimewekewa sticky nyingi though zingine niliomba zifutwe kutokana na kuibuka wachangiaji kama wewe.
Lakini ningejua uko kiloba cha ngapi isingenipa tabu. Am sorry to say that