Mi Simo Kabisaaa katika list hiyo.
Ingawa yupo mmoja nimewahi kumzimia, nilikuwa nasoma maandishi yake naimagine jinsi alivyo nikawa napata mataswira murua tuu
Nikaishia kula kwa macho tu nikabaki kulike & quote bas.
itabidi niwe na Id maalum kwa kazi hiyo.