Mlioapply kozi za afya NACTE!! October pindi linaanza

OK sasa hipo hivii kama utapangiwa chuo sawa ila kama hutapangiwa chuo nacte watakupa opportunity ya kuapply tena (second round) hapo anza kuchagua vyuo vya private ili usije ukaachwa kwa mwaka huu!!
mbinu za kuapply chuo- kutokana na competition kuwa kubwa pindi unapofanya application unashauriwa kachagua vyuo viwili vya mwanzo vya government then cha mwisho weka private ili hata kama utakosa government kutokana na competition at leat private upate ...elimu ni ile ile 2 material ni yaleyale
watafungua kwa mara nyingne??
 
salaam kwenu all medical personnel!!
karibuni sana ndugu zangu ktk kada hii ya afya. panapo majaliwa October pindi lenu linaanza taarifa hizi nimezipata kutoka kwa Mkuu wangu wa chuo!!
vifaa kwa ajili ya matibabu tunauza kwa bei ya offer yaani set nzima kuanzia stethoscopes, blood pressure machine, thermometer, tape measure na vinginevyo tunauza kwa laki 1 tu pia tunauza clinical coats (koti la daktari) kwa 30000 tu!!
karibuni sana ktk kada ya afya
kwan wew ni mwanachuo au ni muuza vifaa hivyo na mwaka jana ulikuwa na thread kibao hapa jf
 
OK sasa hipo hivii kama utapangiwa chuo sawa ila kama hutapangiwa chuo nacte watakupa opportunity ya kuapply tena (second round) hapo anza kuchagua vyuo vya private ili usije ukaachwa kwa mwaka huu!!
mbinu za kuapply chuo- kutokana na competition kuwa kubwa pindi unapofanya application unashauriwa kachagua vyuo viwili vya mwanzo vya government then cha mwisho weka private ili hata kama utakosa government kutokana na competition at leat private upate ...elimu ni ile ile 2 material ni yaleyale
Asante sana kwa ushauri.
 
Mkuu kwani ni lazima uchague government, je ukichagua private machaguo yote vipi?
 
salaam kwenu all medical personnel!!
karibuni sana ndugu zangu ktk kada hii ya afya. panapo majaliwa October pindi lenu linaanza taarifa hizi nimezipata kutoka kwa Mkuu wangu wa chuo!!
vifaa kwa ajili ya matibabu tunauza kwa bei ya offer yaani set nzima kuanzia stethoscopes, blood pressure machine, thermometer, tape measure na vinginevyo tunauza kwa laki 1 tu pia tunauza clinical coats (koti la daktari) kwa 30000 tu!!
karibuni sana ktk kada ya afya
Mnapatikana wapi?
 
Mkuu kwani ni lazima uchague government, je ukichagua private machaguo yote vipi?
hata ukichagua vyote private pia sawa!! ila kabla hujachagua chuo cha private fuatilia ujue ada yao coz ada zinatofautiana
 
nacte cas itafunguliwa tena ndani ya hizi wiki mbili kwa ajili ya 4m 6 wanaotaka kuapply kozi za afya hivyo kabla hawajafungua kwa ajili ya 4m 6 selection zenu zitakuwa tayari
Mkuu Kwani NACTE wanafanya Udahili Kwa Watu Waliomaliza 4m6 moja kwa moja?

"I mean without Diploma"
 
Back
Top Bottom