Mlioapply kozi za afya NACTE!! October pindi linaanza

kabon14

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
1,225
2,000
salaam kwenu all medical personnel!!
karibuni sana ndugu zangu ktk kada hii ya afya. panapo majaliwa October pindi lenu linaanza taarifa hizi nimezipata kutoka kwa Mkuu wangu wa chuo!!
vifaa kwa ajili ya matibabu tunauza kwa bei ya offer yaani set nzima kuanzia stethoscopes, blood pressure machine, thermometer, tape measure na vinginevyo tunauza kwa laki 1 tu pia tunauza clinical coats (koti la daktari) kwa 30000 tu!!
karibuni sana ktk kada ya afya
Hilo koti bei gan?
 
PongLenis

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
428
195
salaam kwenu all medical personnel!!
karibuni sana ndugu zangu ktk kada hii ya afya. panapo majaliwa October pindi lenu linaanza taarifa hizi nimezipata kutoka kwa Mkuu wangu wa chuo!!
vifaa kwa ajili ya matibabu tunauza kwa bei ya offer yaani set nzima kuanzia stethoscopes, blood pressure machine, thermometer, tape measure na vinginevyo tunauza kwa laki 1 tu pia tunauza clinical coats (koti la daktari) kwa 30000 tu!!
karibuni sana ktk kada ya afya

Nahitaji clinical coat mpo wapi nije kuchukua
 
Sagungu 1914

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
829
500
Watu wengine sijui huwa wana nini tu, sisi tunasubiria selection ww unakuja na gia ya biashara uchwara hapa.Hovyo kabisa.
 
ustadhijuma

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
3,015
2,000
nacte cas itafunguliwa tena ndani ya hizi wiki mbili kwa ajili ya 4m 6 wanaotaka kuapply kozi za afya hivyo kabla hawajafungua kwa ajili ya 4m 6 selection zenu zitakuwa tayari
 
ustadhijuma

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
3,015
2,000
Ndio mkuu
Sina mzuku nipo cool kabisa.
OK sasa hipo hivii kama utapangiwa chuo sawa ila kama hutapangiwa chuo nacte watakupa opportunity ya kuapply tena (second round) hapo anza kuchagua vyuo vya private ili usije ukaachwa kwa mwaka huu!!
mbinu za kuapply chuo- kutokana na competition kuwa kubwa pindi unapofanya application unashauriwa kachagua vyuo viwili vya mwanzo vya government then cha mwisho weka private ili hata kama utakosa government kutokana na competition at leat private upate ...elimu ni ile ile 2 material ni yaleyale
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom