Mlioapply kozi za afya NACTE!! October pindi linaanza

Hilo koti bei gan?
 

Nahitaji clinical coat mpo wapi nije kuchukua
 
Watu wengine sijui huwa wana nini tu, sisi tunasubiria selection ww unakuja na gia ya biashara uchwara hapa.Hovyo kabisa.
 
nacte cas itafunguliwa tena ndani ya hizi wiki mbili kwa ajili ya 4m 6 wanaotaka kuapply kozi za afya hivyo kabla hawajafungua kwa ajili ya 4m 6 selection zenu zitakuwa tayari
 
Ndio mkuu
Sina mzuku nipo cool kabisa.
OK sasa hipo hivii kama utapangiwa chuo sawa ila kama hutapangiwa chuo nacte watakupa opportunity ya kuapply tena (second round) hapo anza kuchagua vyuo vya private ili usije ukaachwa kwa mwaka huu!!
mbinu za kuapply chuo- kutokana na competition kuwa kubwa pindi unapofanya application unashauriwa kachagua vyuo viwili vya mwanzo vya government then cha mwisho weka private ili hata kama utakosa government kutokana na competition at leat private upate ...elimu ni ile ile 2 material ni yaleyale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…