Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

Tafuta njia yeyote ya kunifikia, upate hata gawio kidogo la pension ya Babu yenu πŸ˜œπŸ€—
Nakuja nikikimbia babu ila chumbani kwako sipajui. Ni upande gan babu? πŸƒβ€β™€οΈπŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘¦β€πŸ‘¦
 
Nakuja nikikimbia babu ila chumbani kwako sipajui. Ni upande gan babu? πŸƒβ€β™€οΈπŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘¦β€πŸ‘¦
Upande wa mashariki, ukija utanikuta 😜
 
Nachimbaa kabisaaa, tuanze kuzikaa upyaaa!!!
babuu acha mbambamba, wape wajukuuu farangaaa.

Kwann unabaguaaa??
Kwani bado hujaipata hadi leo hii Mjukuu 😜?

Wacha niwasiliane na Wakala wangu wa MoneyGram soon πŸ€—
 
Back
Top Bottom