habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Sawa, lkn jitahidi kuwangalia mwangaliaSi kitu rahisi kumchunga mtu mzima mwenzio
Asante kwa kuwahiNiwahi seat tu
Sema neno usiishie hapo tuHahaha hahaha hahaha bora nicheke
Nokia kaniwahi,Asante kwa kuwahi
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na umejishindia coca ya bureMtu mzima hachungwi, wakuchepuka atachepuka tu hata ufanyeje. Lamsingi kila mmoja acheze nafasi yake ipasavyo huku heshima ikitawala. Saivi umakini unahitajika sehemu moja tu, KUTAFUTA PESA hali sio nzuri.
Hahaha hiyo coca yenyewe naiogopa usikute napewa na mke wa mtu[emoji12] siku izi hakuna vya bure ujue[emoji40] [emoji125][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na umejishindia coca ya bure
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] na umejishindia coca ya bure
Utainywea hapahapa usiogope [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaha hiyo coca yenyewe naiogopa usikute napewa na mke wa mtu[emoji12] siku izi hakuna vya bure ujue[emoji40] [emoji125]
Kaongea ukweli, kikubwa ni heshima tu, na kupambana kuitafuta fwezame mwenyewe nimempa like
[emoji120] [emoji120]Utainywea hapahapa usiogope [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kaongea ukweli, kikubwa ni heshima tu, na kupambana kuitafuta fweza
True sister, na km mtu akiamua kuchepuka hata umchunge VP atachepuka tuyeah masuala ya kuchungana kwani tupo malishoni hapa ! nyie heshimianeni bas