unandoa ya bomani...? kama hauna na huna ufaham juu ya hilo sio lazima...! nahisi wewe haikuhusu wala hujuwi lolote. wewe umriHaueleweki mwenzetu,
Ushirikiano upi unaohusu nini? na katika matatizo ya kindoa yepi?
How old are you? komaa kwanza
unandoa ya bomani...? kama hauna na huna ufaham juu ya hilo sio lazima...! nahisi wewe haikuhusu wala hujuwi lolote. wewe umri
wako bado mdogo ndio maana hujuwi kawaulize wakubwa zako.....¡
Cheti cha ndoa ni kimoja kwa ndoa za aina zote.Kipi hasa specify maana me ni registrar wa ndoa za serikali pale kwa commissioner
Makubwa, wewe ni mtambo, una elim gani mwenzetu?
Hivi nani anaejua zaidi haki na sheria ya ndoa ya kanisa, waliofunga ndoa kanisani ama padri aliesomea maswala ya ndoa ya kikristo?
Na nani anae jua zaidi haki na sheria ya ndoa ya kislam waliofunga ndoa kislam au shehe alio somea maswala ya ndoa ya dini ya kislam?
Na nani anae jua zaidi haki na sheria ya ndoa ya bomani, waliofunga ndoa bomani au mwanasheria alie somea maswala ya ndoa ya kibomani?
Ndo subiri waliofunga ndoa bomani hao wasio jua A wala B, wakupumbaze.
Maana hata wewe mwenyewe haueleweki
msiposhirikiana wanandoa unategemea mshirikiane na nani?
Msiposolve migogoro yenu wanandoa mnategemea ndugu ndo wasolve?
Ndoa hujengwa na wawili........matatizo yanamalizwa na wawili wakiingia ndugu jamaa na marafiki hua ni kujianika tu......
Ndoa ni ndoa haijalishi ni kimila....bomani....kanisani...msikitini au kwenye sinagogi
Nakubaliana na wewe kabisa. Hata mi nikajiuliza hivi wazazi wake wakifa atamshirikisha nani?
Kama yeye mwenyewe hawezi kutatua matatizo yake ya kindoa mwenyewe, basi itakuwa Kapinda.
Ndio wale wale watoto wa mama, kila kitu wazazi. Na mara nyingi watu kama hawa uishi kwa wazazi hadi miaka 50.
Dume lililo komaa ukabiliana na kila kitu mwenyewe, kuvyake.
ukiona hivyo mtarajiwa wake BAUNSA kipondo nje nje, ndio maana anauliza pa kukimbilia...