It depend so kila anaeolewa hajawahi do basi ndoa yao inakuwa haina usaliti....
na hao ambao hajaguswa baadhi yao ndio wabaya,ile wakianza kustop inakuwaga kazi
wanajilaumugi kwamba walikuwa siku..........,
na wale walojaza hiace,costa inareach time wanaona this is non sense
ngoja nitulizane na life wanatulia kisawa sawa...........,
go and tell that to the mountains!
hadithi njoo, utamu kolea.......ukinyamaza wewe mawe yatasema
Hi!
NB: Mwanamke/ mwanaume akiolewa huku akiwa hajawahi kuguswa kimapenzi kuna uwezekano mkubwa ndoa yao ikawa haina usaliti.
hadithi njoo, utamu kolea.......
ha haaaa, wewe ndo ulikuwa zuzu kweli, lol! (dont take it personal, ne!)Umenikumbusha tulikuwa tunaimba hadisi njoo utamkolea... sasa mi nilikuwa najiuliza hadisi atamkoleaje?
ha haaaa, wewe ndo ulikuwa zuzu kweli, lol! (dont take it personal, ne!)
Ndio maana huwa nakupendaga sana wewe mwanamke, yaani yote niliyokuwa nafikiria kuchangia umeyamaliza. Kiss mwaaaaaaaaaa babe..It depend so kila anaeolewa hajawahi do basi ndoa yao inakuwa haina usaliti....
na hao ambao hajaguswa baadhi yao ndio wabaya,ile wakianza kustop inakuwaga kazi
wanajilaumugi kwamba walikuwa siku..........,
na wale walojaza hiace,costa inareach time wanaona this is non sense
ngoja nitulizane na life wanatulia kisawa sawa...........,
go and tell that to the mountains!
Ndio maana huwa nakupendaga sana wewe mwanamke, yaani yote niliyokuwa nafikiria kuchangia umeyamaliza. Kiss mwaaaaaaaaaa babe..
Huyo anajidanganya anapofikiri wasioonja wakiingia kwenye ndoa hutulia, na sisi tuna mifano kibao ya usaliti wa watu kama hao. Huwa wakionja na kunogewa wanakuwa wabaya kuliko wale waliojichokea wa kutafuna K na M mpaka wamechoka nazo.
Aelewe kwamba sio vicheche wote wanapenda kufanya wanayofanya, wengine wapo kwenye kutafuta pesa au mwenzi toshelevu wakipata tumeona wametulia.
Alafu kila siku ya jumamosi nilikuwa nasikia redioni
Kiongozi: Paukwa
Wote: Pakawa
Kiongozi: Sahani
Wote; Ya mchele
Kiongozi: Giza
Wote: La mwizi
Kiongozi: Kiboko
Wote: Cha mtoto mkorofi
Kiongozi: Na maziwa Je?
Wote: Ya watoto wa nyayoooooooooooooooooooo......
Sasa mi walikuwa wananiacha hapo hapo kwenye mchele, maana nilikuwa najenga picha ya sahani imejaa wali...
Wewe naye kwa kumbukumbu bado unakumbuka tu ndiyo maana huwa unaniacha hoi. Kiss lingine mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaduuh hilo kiss limenisisi......
Na wanaume waliokulia seminary wakitoka huko wanakuwaje vile???????
Refer yule Dr wa Tanga aliyemaliza vitoto vya sekondary vyote baada ya kuonja mara moja.
Kutulia ni tabia ya mtu, kama ilivyo kutokutulia. Ndoa nyingi sasa hivi zafungwa katika umri 27-35 sasa hebu niambie bikira za kike na za kiume utazipata ngapi hapo? Mimi mama yangu amefunga kizazi baada ya kunizaa mimi (last of six children) at 29. Maana yake kaolewa in her teens na kumaliza kuzaa muda ambao vijana wengi wa sasa ndio wanaanza maisha. So mama yangu kwa vile aliolewa mapema ndio maana hawezi kuwa na list ya wanaume ila twaweza sema ana list ndefu ya love making kuliko mdada wa 29 ambaye say ameanza mapenzi at 20 akiwa A level, baadaye alivyoenda shule akapata mpenzi mwinine, na alipoanza kazi akawa na mpenzi mwingine (making 3 men) lakini wote hao huenda alikuwa anameet nao say once or twice a month.
lengo langu sio kushabikia uasherati, lakini najaribu kuweka uhalisia wa hali ya sasa hivi.