Mlio oa/kuolewa huku mkiwa mmeisha chakachuliwa na waume/wake wengine mmetulia ktk ndoa zenu?

MUYOOL

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
561
444
Hi!

Swali hili ni kwa wanandoa ambao walikuwa na mahusiano mbalimbali kabla ya ndoa tena wengine wanafikia kujisifu eti mimi nilioshiriki nao najaza bajaj, tax,Hiace, coaster au basi.Je baada ya kuoa/kuolewa mmetulizana au ndiyo wale wanaosababisha wanandoa kuongoza kwa maambukizi ya HIV?

Mtazamo wangu kutoka ktk maandiko matakatifu, mtu anayeingia kwenye mahusiano mbalimbali kabla ya ndoa kuna uwezekano mkubwa asiridhishwe na mwenzi wake kwa kuwa anakuwa amekutana na watu tofauti tofauti wenye ufundi tofauti tofauti na radha tofauti tofauti hivyo huwenda asiridhishwe na mwenzi wake.

Kwa anayebisha atoe hoja ila mimi naomba kabla haujakubaliana na mimi hebu piga picha kwenye jamii unayoishi.Mimi ofisini kwangu kuna mifano kibao naiona na ndio maana nikaja na suala hili.

NB: Mwanamke/ mwanaume akiolewa huku akiwa hajawahi kuguswa kimapenzi kuna uwezekano mkubwa ndoa yao ikawa haina usaliti.
 
It depend so kila anaeolewa hajawahi do basi ndoa yao inakuwa haina usaliti....
na hao ambao hajaguswa baadhi yao ndio wabaya,ile wakianza kustop inakuwaga kazi
wanajilaumugi kwamba walikuwa siku..........,

na wale walojaza hiace,costa inareach time wanaona this is non sense
ngoja nitulizane na life wanatulia kisawa sawa...........,
 
hoja yako inaweza kukubalika maana unajua mtu akianza kupenda huwa yule anayempenda anamheshimu sana na kama kuna mtu analeta upuuzi pembeni anamwambia. ila akiisha penda huyu akaachana naye, akaingia kwa huyu mara yule huwa misimamo inaondoka kabisa hata kufikia hatua ya kukonyezwa mbele ya mpenzi wake naye akavunga. kweli experience kwenye mapenzi ni kitu kibaya sana.
 
It depend so kila anaeolewa hajawahi do basi ndoa yao inakuwa haina usaliti....
na hao ambao hajaguswa baadhi yao ndio wabaya,ile wakianza kustop inakuwaga kazi
wanajilaumugi kwamba walikuwa siku..........,

na wale walojaza hiace,costa inareach time wanaona this is non sense
ngoja nitulizane na life wanatulia kisawa sawa...........,

umenena
 
Na wanaume waliokulia seminary wakitoka huko wanakuwaje vile???????
Refer yule Dr wa Tanga aliyemaliza vitoto vya sekondary vyote baada ya kuonja mara moja.
Kutulia ni tabia ya mtu, kama ilivyo kutokutulia. Ndoa nyingi sasa hivi zafungwa katika umri 27-35 sasa hebu niambie bikira za kike na za kiume utazipata ngapi hapo? Mimi mama yangu amefunga kizazi baada ya kunizaa mimi (last of six children) at 29. Maana yake kaolewa in her teens na kumaliza kuzaa muda ambao vijana wengi wa sasa ndio wanaanza maisha. So mama yangu kwa vile aliolewa mapema ndio maana hawezi kuwa na list ya wanaume ila twaweza sema ana list ndefu ya love making kuliko mdada wa 29 ambaye say ameanza mapenzi at 20 akiwa A level, baadaye alivyoenda shule akapata mpenzi mwinine, na alipoanza kazi akawa na mpenzi mwingine (making 3 men) lakini wote hao huenda alikuwa anameet nao say once or twice a month.

lengo langu sio kushabikia uasherati, lakini najaribu kuweka uhalisia wa hali ya sasa hivi.
 
ha ha!! sitaki kununua mbuzi kwenye gunia, lazima ni test kwanza ebo.
 
ha haaaa, wewe ndo ulikuwa zuzu kweli, lol! (dont take it personal, ne!)

Alafu kila siku ya jumamosi nilikuwa nasikia redioni

Kiongozi: Paukwa
Wote: Pakawa

Kiongozi: Sahani
Wote; Ya mchele

Kiongozi: Giza
Wote: La mwizi

Kiongozi: Kiboko
Wote: Cha mtoto mkorofi

Kiongozi: Na maziwa Je?
Wote: Ya watoto wa nyayoooooooooooooooooooo......

Sasa mi walikuwa wananiacha hapo hapo kwenye mchele, maana nilikuwa najenga picha ya sahani imejaa wali...
 
It depend so kila anaeolewa hajawahi do basi ndoa yao inakuwa haina usaliti....
na hao ambao hajaguswa baadhi yao ndio wabaya,ile wakianza kustop inakuwaga kazi
wanajilaumugi kwamba walikuwa siku..........,

na wale walojaza hiace,costa inareach time wanaona this is non sense
ngoja nitulizane na life wanatulia kisawa sawa...........,
Ndio maana huwa nakupendaga sana wewe mwanamke, yaani yote niliyokuwa nafikiria kuchangia umeyamaliza. Kiss mwaaaaaaaaaa babe..

Huyo anajidanganya anapofikiri wasioonja wakiingia kwenye ndoa hutulia, na sisi tuna mifano kibao ya usaliti wa watu kama hao. Huwa wakionja na kunogewa wanakuwa wabaya kuliko wale waliojichokea wa kutafuna K na M mpaka wamechoka nazo.

Aelewe kwamba sio vicheche wote wanapenda kufanya wanayofanya, wengine wapo kwenye kutafuta pesa au mwenzi toshelevu wakipata tumeona wametulia.
 
duuh hilo kiss limenisisi......
 
Alafu kila siku ya jumamosi nilikuwa nasikia redioni

Kiongozi: Paukwa
Wote: Pakawa

Kiongozi: Sahani
Wote; Ya mchele

Kiongozi: Giza
Wote: La mwizi

Kiongozi: Kiboko
Wote: Cha mtoto mkorofi

Kiongozi: Na maziwa Je?
Wote: Ya watoto wa nyayoooooooooooooooooooo......

Sasa mi walikuwa wananiacha hapo hapo kwenye mchele, maana nilikuwa najenga picha ya sahani imejaa wali...

haahaahaaa! So funy!
 
Na wanaume waliokulia seminary wakitoka huko wanakuwaje vile???????
Refer yule Dr wa Tanga aliyemaliza vitoto vya sekondary vyote baada ya kuonja mara moja.
Kutulia ni tabia ya mtu, kama ilivyo kutokutulia. Ndoa nyingi sasa hivi zafungwa katika umri 27-35 sasa hebu niambie bikira za kike na za kiume utazipata ngapi hapo? Mimi mama yangu amefunga kizazi baada ya kunizaa mimi (last of six children) at 29. Maana yake kaolewa in her teens na kumaliza kuzaa muda ambao vijana wengi wa sasa ndio wanaanza maisha. So mama yangu kwa vile aliolewa mapema ndio maana hawezi kuwa na list ya wanaume ila twaweza sema ana list ndefu ya love making kuliko mdada wa 29 ambaye say ameanza mapenzi at 20 akiwa A level, baadaye alivyoenda shule akapata mpenzi mwinine, na alipoanza kazi akawa na mpenzi mwingine (making 3 men) lakini wote hao huenda alikuwa anameet nao say once or twice a month.

lengo langu sio kushabikia uasherati, lakini najaribu kuweka uhalisia wa hali ya sasa hivi.

wanafanyaje vileee?
 
Hivi kwa kizazi chetu hiki cha sasa tuseme cha wanaoanzia miaka ya 1970's and above, kuna uwezekana kweli wa kukuta mtu anaingia kwenye ndoa akiwa bado hajawahi kupiga au kupigwa mzigo?
Naamini kupiga au kutopigwa mzigo kabla ya ndoa si kigezo cha mtu kutokutulia akishakuwa ndoa. Halafu umegeneralise sana kwenye wale wenye ndoa za mitala inakuaje ?
Ila suala la kukumbushia lipo sana hususani kwa sie wanaume, umekwenda semina mkoa mwengine unakutana na x wako yupo available , uzoefu unaonyesha kukumbushia kupo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom