Hi!
Swali hili ni kwa wanandoa ambao walikuwa na mahusiano mbalimbali kabla ya ndoa tena wengine wanafikia kujisifu eti mimi nilioshiriki nao najaza bajaj, tax,Hiace, coaster au basi.Je baada ya kuoa/kuolewa mmetulizana au ndiyo wale wanaosababisha wanandoa kuongoza kwa maambukizi ya HIV?
Mtazamo wangu kutoka ktk maandiko matakatifu, mtu anayeingia kwenye mahusiano mbalimbali kabla ya ndoa kuna uwezekano mkubwa asiridhishwe na mwenzi wake kwa kuwa anakuwa amekutana na watu tofauti tofauti wenye ufundi tofauti tofauti na radha tofauti tofauti hivyo huwenda asiridhishwe na mwenzi wake.
Kwa anayebisha atoe hoja ila mimi naomba kabla haujakubaliana na mimi hebu piga picha kwenye jamii unayoishi.Mimi ofisini kwangu kuna mifano kibao naiona na ndio maana nikaja na suala hili.
NB: Mwanamke/ mwanaume akiolewa huku akiwa hajawahi kuguswa kimapenzi kuna uwezekano mkubwa ndoa yao ikawa haina usaliti.