Mlio Oa au mnaoishi na wanawake mnafanyaje?

RSM Dominik

Senior Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
120
Reaction score
286
Wakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .

Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?

Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
 
Attachments

  • FB_IMG_17904015468927659.jpg
    FB_IMG_17904015468927659.jpg
    38.6 KB · Views: 2

Ni mwendo wa utamu utamu🤐😠😅😅😅
 
Buni hata kabiashara kadogo cha kufukia mashimo.
 
Early 30's
Huna mke
Huna mtoto
Huna maendeleo.
Pole.....miaka inaenda kwa kasi sana....think of you at 50's hali itakuwaje.
Jikatae...zama pori lolote jitese kwa miaka miwili then rudi town angalau na kakitu.
Heshima ya mtu ni pesa
Tabasamu la mtu ni pesa
Nguvu za kiume ni pesa.
Inshort pesa ndiyo mume wa dunia ya Leo..
Achana na comfort zones.
 
"Achana na comfort zone" 🤞🤞🤞
 
Back
Top Bottom