Mlio karibu na Lema tafadhalini mzidi kumkumbusha wajibu wa Mbunge

Neno, wenye hekima watakuelewa walahi
Kwenye siasa hakuna kuungana. Ambition za kisiasa zipo moyoni huwa hazifi hivyo huwezi mfuga adui. Ukijiunga umesalenda kubali kuwa mateka, unless uwe citizen wa kawaida.
 
naamini sasa kuwa mtu akiwa upinzani na dish lazima liyumbe kama nyie yaani hapo unafiki ni upi sasa hataki hata watu wake wawe na maendeleo ni mbunge ganisi bora aache tu hao sasahivi hawana mbunge wana mamluki fulani tu hapo
Waambie pia kuwa majimbo yote yenye wabunge wa ccm yana maendeleo makubwa sana.
Mrudisheni kwanza Dewji.
 
Imekuwa ni kawaida kwa Mheshimiwa Lema, kukacha kila kila tukio la kitaifa linaloandaliwa na serikali mkoani Arusha.

Muda huu kuna Kunafanyika Kilele cha Urithi Wetu Festival Kitaifa mkoani Arusha, ndandi ya Jiji la Arusha ambalo Mheshimiwa Lema ni Mwakilishi wa Wanannchi Bungeni.

Tukio husika mgani rasmi ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ni jambo la aibu kwa chama kikubwa kama CHADEMA kutopeleka wabunge wanaowakilisha mkoa wa Arusha ambao wangetumia fursa hii kuwa karibu na Waziri Mkuu pia kujumuika na wananchi waliowapigia Kura.

Mlio karibu na Mheshimiwa Lema tafadhalini mzidi kumkumbusha wajibu wa Mbunge, bado hajachelewa ajirekebishe ili mwaka 2020 aweze kuchaguliwa tena na wapiga kura wa Arusha Mjini. Mwambieni akubali yaishe, afanye kazi na RC Mrisho Gambo ili wawaletee maendeleo wananchi wa Arusha.

Ni vizuri afuate busara anazotumia Meya wa Jiji, Kalist Lazaro ambaye ni kada wa CHADEMA ambaye anawajibika ipasavyo kwa wananchi pasipo kujali uwepo wa viongozi wa CCM.
Kalist alikuwepo Leo au unashabikia kitu flani
 
hajui kuwa wapigakura wake wanamzarau ?wenyewe wanaenda mbunge hawamuoni unategemea nini hapo ukinyimwa kura unasema umeibiwa kura mbona watu wananipenda hajitambui huyo na 2020 hapati kitu akalime tu
Aliyewaambieni Mh Lema anampango wakugombea Ubunge tena 2020 nani??? Kwa sasa nafasi zilizokuwa za Wabunge tumewaachia Wakuu wa Mikoa/Wilaya.
 
Mtaji wa mwanasiasa ni.watu, hivyo tukio husika kwa umuhimu wake lilipaswa kuhudhuriwa na mbunge wa eneo husika. Kususia tukio ni sawa na kumwachia SHAMBA la mahindi ngedere, hivyo Lema kaumia kisiasa
Watu wengine sio watu,ni viatu.Mbona Magufuli ni mwakilishi wa raia wote lakin kwenye matukio makubwa kama mikutano ya kimataifa hahudhurii,misiba ya kitaifa hahudhurii.Je,mbona kila siku anapendwa zaidi na wambunge wanajiuzuru na kuunga juhudi zake?

Inshu sio Lema kuhudhuria.Labda ungemkumbusha ahadi alizoahidi kama hajakamilisha ndio ingependeza kumkumbusha..

Ubora wa mbunge upo kwenye uwezo bora wa kifikisha mawazo na mahitaji ya raia wake pale panapohitajika..serikali ndio inayoleta maendeleo sio mbunge.Je,kuna tatizo lolote Lema hajalifikisha mahala husika?MKUMBUSHE.


nadhani tumeelewana.
 
Hawa jamaaunawajua au huwa unawasikia tu? Mateso na changamoto wanazozipitia upinzani tz unazijua kweli???!
_20181008_094042.JPG
 
Aliyewaambieni Mh Lema anampango wakugombea Ubunge tena 2020 nani??? Kwa sasa nafasi zilizokuwa za Wabunge tumewaachia Wakuu wa Mikoa/Wilaya.
kwa sababu anajua kabisa hawezi kupata ubunge tena bora kajishtukia mapema
 
Wewe unawashiwa nini sasa, wimbo wapigiwe wengine wewe ukate mauno. Dah tunatatizo la msingi kwa hiki kizazi bazazi.
ama kweli nyie mtakuwa mmerogwa yaani hata akila ruzuku hamuoni shida ona gekur kapelekewa laki tano kwenye kampeni za uchaguzi wa marudio wakati chama kila mwezi ruzuku zaidi ya milioni 300 bado mnacheka tu
 
Back
Top Bottom