Mlinzi wa Wizara ya Ujenzi atupwa jela miaka mitatu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Mshtakiwa huyo ambaye ni mkazi wa Temeke amehukumiwa kifungo hicho baada ya kushindwa kuzuia wizi usitokee katika wizara hiyo.

Dar es Salaam. Ramadhani Kusena(48) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kushindwa kuzuia wizi usitokee katika Wizara ya Ujenzi, wakati akiwa mlinzi katika eneo hilo.

Mshtakiwa huyo ambaye ni mkazi wa Temeke amehukumiwa kifungo hicho baada ya kushindwa kuzuia wizi usitokee katika wizara hiyo.

Kusema alisababisha kiti na kompyuta moja viliibiwa katika chumba namba 303 kilichopo katika ofisi za wizara hiyo.

Hakimu Mkazi wa Catherine Kioja alisema mahakama yake imemtia hatiani mshtakiwa huyo baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi wanne waliotoa mahakamani hapo.
 
Kaonewa kwa kweli maana hii Nchi kuna mijizi mikubwa lakini hawachukuliwi hatua yoyote
 
huo wizi ulikuaje walibomoa walimfunga kamba au alikimbia watu wenye siraha maana kushindwa kuzuia kupo kwa aina nyingi...
 
Back
Top Bottom