Mlinzi wa Rais Malawi mmemuona?

Kwa kuwa mada ni ya kiusalama basi taja kitu kimoja tu unachoona hakifai ila Waafrika wakakisifia?
 
Bush commando
 
Ingekuwa rahisi hivyo Jiwe angekuwa anadunda hadi leo?!
Hakuna mtu mwenye uwezo huo anataka kumuondoa jiwe, wanajua vizuri wakimuondoa nchi itaangukia pabaya zaidi ya ilipo sasa hivi, so ni vizuri kumuacha hata kama hawampendi.
 
Hamna kitu hapo..amejibebesha mizigo tu.
 
Mbwembwe nyingi, mtu akitaka kuassasinate mtu afrika ni fasta sana, security yetu ndogo, one sniper president yupo chini na hutojua hata alitokea wapi, surveillance system hatuna. Hapo anatisha vilaza na masikini tu.
Usituchukulie Poa, jaribu uone sasa kama utaweza, our Presidents are safe
 

Tumejaaliwa kula na kutumia nguvu lakini akili ndio kikwazo kwetu.
 
Ikitokea ambush hapo, kinachobaki ni hiyo kofia tu kama kumbukumbu...

Siku hizi tunavamia kwa Technology na siyo face to face...


Cc: mahondaw
 
Akitoka hapo anaenda lala kwenye mabanda ya bati na mshahara mbuzi kama FFU wa kwetu Tz
 
Yaan jamaa ndo kavuta attention isiyo na lazima....Huwez kuwa akili sawa ukaoverdress kiasi hicho...
 
Mbwembwe nyingi, mtu akitaka kuassasinate mtu afrika ni fasta sana, security yetu ndogo, one sniper president yupo chini na hutojua hata alitokea wapi, surveillance system hatuna. Hapo anatisha vilaza na masikini tu.
Jaribu basi wewe kufanya assassination
 
Full mayoko Yoko ...
Kawaida sana Hiyo njoo siku moja huku ukute wanaume wameamua kula mayoko Yoko afu wanune utakimbia ww..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…