Mlinzi wa Rais Malawi mmemuona?


 
yaani jamaa yupo rejected na over 60% of voters yet anakuwa president? huyu si ataongoza waasi tu?

mimi nisingekubali aisee!!
 
Kumbe ndiyo maana.ulinzi Wa kutisha
 
Hapo wanacheza na saikolojia ya watu,
Kuweka mwanausalama akiwa na "intimidating battle gears" kwenye usalama tunaita security by intimidation.
Watu wakiwa na nia ya kumuondoa Raisi,kwanza sio watu wa kawaida,ni watu wanaokuwa na inteligensia ya kutosha kuhusu usalama na ulinzi wa Raisi husika,Pili wanaweza kutumia sniper,mlenga shabaha!sasa huyo jamaa na madudu yote aliyovaa,itasaidia nini!
 
Labda kama anatumia mbinu ya Gun boot diplomacy, vinginevyo ni ushamba... kwanza hana Communication gears kitu ambacho ni muhimu zaidi katika ulinzi, sababu ulinzi ni kazi ya ushirikiano, hawezi zuia hatari bila kushirikiana na wenzake kwa karibu, mbwembwe zote hizo akitupiwa kinumbu cha rambo kwisha kazi!
 
Hahahaha, mabadiliko ya waafrika yatachukua mda sana. Kwanza hatujithamini na hatupendi hata kuthamini tulivyonavyo na hatuonyeshi utayari.
 
Yupo kazini,nin kinakuwasha?
 
Hahahaha, mabadiliko ya waafrika yatachukua mda sana. Kwanza hatujithamini na hatupendi hata kuthamini tulivyonavyo na hatuonyeshi utayari.
yani tutachelewa kweli ...

hatujikubali kabisa mfano ni kuamini kuna vitu akivifanya mzungu ni bora na vinahitaji kusifiwa ila akifanya mwafrika havifai na kazi kuponda tu

wanaweza wakahoji kwann hausafiri

ukisafiri wanahoji kwann unaongea kiswahili nchi za watu

hapohapo wanamshabikia XI JINPING kwa kuongea kichina mkutano wa umoja wa mataifa
 
Haya mliopo kwenye hio tasnia mtuambie kavaa vitu gani sasa?maana naona miwali mbilimbili na Matochi kibao
 
Mbwembwe nyingi, mtu akitaka kuassasinate mtu afrika ni fasta sana, security yetu ndogo, one sniper president yupo chini na hutojua hata alitokea wapi, surveillance system hatuna. Hapo anatisha vilaza na masikini tu.
Ingekuwa rahisi hivyo Jiwe angekuwa anadunda hadi leo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…