Claude Mosha ambae ni mlinzi wa club ya usiku ya Bilicanas inayomilikiwa na mfanyabiashara ambae pia ni mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amejiunga na ccm.
Hili lilifuatiwa baada ya mlinzi huyo kukamatwa akiwaibia wateja waliofika klabuni hapo kuburudisha akili zao,
Tarehe 10/3/2014 usiku katika sehemu ya maegesho ya klabu hiyo Mosha alikutwa na walinzi wenzake akivunja vioo vya moja ya gari la mteja wa klabu hiyo aliyefahamika kwa jina la Mr Gash,
Sakata hili lilifikishwa mbele ya uongozi wa klabu hiyo, na Mosha akasimamishwa kusibiri adhabu ya mwajiri wake aliyekuwa safarini wakati wa tukio,
Wiki iliyopita mtuhumiwa akakimbilia ccm ambako ni makazi ya wezi na vibaka nchini.
Aliyekuwa mlinzi na msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema amejiunga na CCM, itakumbukwa pia dada yake Mbowe ambae sasa ni Marehemu aliwahi kujiunga na CCM.
Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, watu wa karibu na Mwenyekiti wanahama na kujiunga CCM, Mbowe anawafanya nini?
Kuna nini cdm?
Source: Jambo leo.
CCM bana!subirini na mpishi wa Dr Slaa atahamia hivi karibuni.
Aliyekuwa mlinzi na msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema amejiunga na CCM, itakumbukwa pia dada yake Mbowe ambae sasa ni Marehemu aliwahi kujiunga na CCM.
Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, watu wa karibu na Mwenyekiti wanahama na kujiunga CCM, Mbowe anawafanya nini?
Kuna nini cdm?
Source: Jambo leo.
aliyekuwa mlinzi na msaidizi wa mwenyekiti wa chadema amejiunga na ccm, itakumbukwa pia dada yake mbowe ambae sasa ni marehemu aliwahi kujiunga na ccm.
visa vya mbowe vipo wazi sana kama ukiamua kufuatilia hafai kuishi na watu.
nashangaa mbowe anamsema zitto kabwe jimboni kwake anauza kata kwa ccm,yeye mbona jamaa zake wa karibu(nyumba moja) wanahamia ccm?
chama lilishakufa kitambo
udini,.. Udini!... Wafuasi wa zitto kazini.kuna tetesi pia yule mke wa zamani wa mbowe anataka kujiunga na ccm,mbowe atakufa kwa presha mwaka huu
Mwanaume anapokuwa kwenye Per.iod ni abnormality matokeo yake hata ubongo wake huwa una-drift.Hebu jaribu kupata ushauri kabla ya kubwabwaja izi tungo zako ziso na hata chembe ya ufikiri wa kisayansi hata kupitia ulevi wa chang`aa..Aliyekuwa mlinzi na msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema amejiunga na CCM, itakumbukwa pia dada yake Mbowe ambae sasa ni Marehemu aliwahi kujiunga na CCM.
Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, watu wa karibu na Mwenyekiti wanahama na kujiunga CCM, Mbowe anawafanya nini?
Kuna nini cdm?
Source: Jambo leo.
Mwanaume anapokuwa kwenye Per.iod ni abnormality matokeo yake hata ubongo wake huwa una-drift.Hebu jaribu kupata ushauri kabla ya kubwabwaja izi tungo zako ziso na hata chembe ya ufikiri wa kisayansi hata kupitia ulevi wa chang`aa..
Alikufa Nyerere CCM ipo,Kafa Karume CCM ipo..Kaondoka Kaburu CDM kule Kigoma ,CDM ipo,Kafa Chacha Wangwe CDM ipo,Kaondoka Slaa CCM bado chama kipo, au chama ni mtu mmoja kwa tafsiri yako?Kama ndivyo chama kinachoongoza kwa kuhamwa ni CCM kwani karbu viongozi wote waanzilishi wa vyama walitokea CCM hata majimbo karibu yote yanayoongozwa na wapinzani yalikuwa CCM kabla ya 1995,Wewe unazungumzia Mlinzi wa Mbowe ambaye hatuna hakika kama alikuwa mwanachama shame upon your ugly face!