Mlinzi wa Hayati Rais Moi alikuwa Commando. Je, Tanzania mlinzi anamchunga au anamlinda Rais?

Utaona kwamba mifumo ya ulinzi kwa nchi nyingi za Afrika iko kutetea maslahi ya viongozi na utawala uliopo. Hawana lengo kuu la kulinda maslahi ya nchi, ndio maana wanahatarisha siri za nchi kuvuja kwa kusukumiza wenye nazo nje. Wapi utakuta DG mstaafu wa CIA, FBI, MOSSAD, FSB, M16 au shirika lolote la nchi kubwa duniani anaenda nje kuwa balozi.

Majasusi wote wana security clearance, ili awe mole au double agent lazima kwanza awe anaaminika kwao vinginevyo hatopewa kazi au atalishwa taarifa za uongo. Hiyo security clearance mbona isitumike kuishi nao hapa.

Tatizo kukaa nao nchini ni shida maana hutowapa house arrest bila sababu hivo watakuwa mtaani. Ila kuwapeleka nje ni shida kwa nchi.
Tatizo tunaona tuna akili kuliko TISS wenyewe. Unafikiri kwanini huyo DG kapelekwa Namibia na si kwingine?
 
Hata hayati Magufuli alikuwa anawaita "wale wanaonichunga" akiwa na maana kwamba wanamchunga hivyo hawa jamaa wanamchunga na kumlinda rais.
Na unaweza ukawa unawachunga ng'ombe huku unawalinda "wasibugie" mazao ya "bhenyewe" mu- shamba "zao"!😂😂😂😂😂
 
Mzee iko ivi hawa Spymaster wanatolewa Nchini for good sake kwa mana wana Information clearance kubwa sana mataifa mengi ya nje sio threat sana kwetu ukiachilia Hawa nearby ndo mana unaona Kipilimba yupo Namibia, Kumuacha nchini ni hatari mana anaweza kutumika na maadaui wa ndani kuhujuma serikali, Hata nyerere alimtoa Mahiga baada ya kushuhudia na kuwa sehemu ya kuzima mapinduzi aliyotaka kufanyiwa nyerere he had clearance kubwa na data na he was loyal ndo mana akawa balozi nje huko ili atoke nchini, at age of 35 Mahiga alikuwa DG wa TISS
Kama ndivyo mbona RO alibaki ndani hakwenda nje? hats KAM alibaki hapa ndani hakwenda kuwa balozi.
 
Back
Top Bottom