Mlinga ataka RC Makonda, Hapi, Gambo, wapewe Tuzo

esther mashiker

JF-Expert Member
May 29, 2018
616
552
1066784

Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga ameihoji serikali suala la kutoa motisha au Tuzo kwa Wakuu Mikoa na wa Wilaya wanaofanya vizuri.

Wakuu wa Mikoa waliotajwa na Mbunge Mlinga amesema "Yupo Salum Hapi wa Iringa, Alexander Mnyeti, Mrisho Gambo, Paul Makonda, Je Wizara ina mpango gani wa kuwaandalia motisha au Tuzo Wakuu wa Mikoa hawa na Wakuu wa Wilaya ambao wanafanya kazi vizuri."

Swali hilo limejibiwa na Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo amesema kuwa tayari suala hilo lipo katika ajenda za vikao vinavyoendelea kwani ni kweli anatambua juhudi zinazofanywa na baadhi ya wakuu wa mikoa na wakuu wilaya kwani kwa kiasi kikubwa matatizo mengi ya wananchi yamepungua.

”Nikili wazi kweli kuna wakuu wa mikoa hivi sasa wanaofanya kazi vizuri sana, ajenda ya kuwapa ‘apriciation’ kwa baadhi ya wakuu wa mikoa tumeshaanza kuifanya katika vikao vyetu, na juzi baadhi ya Wakuu wa Mikoa tumewapa vyeti kwa jinsi gani wanasimamia mambo ya serikali vizuri” amesema Jafo.

Aidha Jafo ameongezea kuwa kufuatia mradi ulianzishwa hivi karibuni ambao ulihusisha ujenzi wa viwanda 100 kwa kila mkoa ambapo mradi huo ulitekelezeka na kupitiliza malengo ambapo matarajio yalikuwa kufanyika kwa ujenzi wa viwanda 2600 na hadi kufikia sasa kuna ujenzi wa viwanda 4877.

”Tulianzisha programa ya ujenzi wa viwanda kwa kila mkoa matarajio yetu ni kupata viwanda 100 kwa kila mkoa, matarajio yetu ni kupata viwanda 2600 lakini tumepata viwanda 4877 ni outstanding perfomnce na kazi hii imesimamaiwa na wakuu wa mikoa.

View attachment 1066784

NI BAHATI MBAYA SANA KUWA NA WABUNGE KAMA HAWA BUNGENI. HAO WALIOTAJWA WANATIMIZA WAJIBU WAO KIKATIBA. NAONA HATA WEWE MILINGA UTAOMBA MOTISA KWA PUMBA ZAKO HIZO
 
Pumbafu kabisa! Eti wamejenga viwanda 4,877! Mxciuuuuuuuuuuu viwanda hewa.

Alikwenda Bungeni kwa upepo wa marehemu Mama yake..........sio ajabu kwa anayoongea....
 
Tatizo la kugawa ubunge kifalme, huyu asingezaliwa na Selina Kombani asingekuwa hata na hadhi ya kuwa balozi wa nyumba kumi mtaani, ccm mnatuaibisha sana.
 
Back
Top Bottom