Mlinda Mlango maarufu afumaniwa na mke wa beki wake

Mlinda Mlango maarufu afumaniwa na mke wa beki wake

Hivi hawa wake za watu siku hizi wana matatizo gani mbona wanatoka nje ya ndoa zao kirahisi sana?

Mkuu wanasema wanabadili mboga eti hawez kula maharage tuu kila cku
 
Haaa haaa hii story jana ndio ilikuwa habari ya mjini.

Ni hivi alikuwa akimshawishi mke wa rafiki yake wavunje amri ya sita.Mwanamke akamweleza mumewe kwamba rafiki yake anamtongoza.

Mke na mume wakaamua wake mtego wa kumnasa ruba.Mume akaandaa mpiga picha na vijana wa mjini kwaajili ya kumuingilia Hashim kinyume na maumbile.Hashim wakati yuko kwenye harakati za kuvunja amri ya sita mlango ukagongwa vijana wakamvamia mpiga picha akaanza kufanya kazi ya kupiga picha kama alivyoelekwezwa na mwajiri wake (mume wa mwenye mke).Bahati mbaya kelele zikawa nyingi sana polisi wa doria (pikipiki) walikuwa wakipita karibu na eneo wakaarifiwa na msamiria mwema kuna songombingo linaendelea Kasoli guest.Kama si polisi kuwasili eneo la tukio Hashim angeliwa kiboga.

attachment.php


Habari ndio hiyo.wake za watu ni sumu.
 
We bidada nawe ulikuwa unatafuta kiki kwa mumeo tu ununuliwe kitenge cha Zaire. Lugha zooote za makabila 120 ya Tanzania na Kiswahili lugha ya taifa ulishindwa kupangua hicho kishawishi na shemejio akakuelewa maisha yakaendelea, unaanza 'Mh yaani... we mume wangu marafiki huna... nakwambia ...' We ulilegeza macho ndo maana akawa anakughasi. Thubutuuu... unamtolea mtu jicho hadi anaweweseka...
 
hili tukio linachekesha saana maana ata hao mabaunsa wanaoleta fujo kwa mfumaniwa ni wa timu moja na ni marafiki... ila naskia ni tabia ya jamaa kuchukua wake za marafiki zake!!!!
 
Hivi hawa wake za watu siku hizi wana matatizo gani mbona wanatoka nje ya ndoa zao kirahisi sana?

Mbona huyo mume wa mtu aliyefumaniwa hapo naye alikuwa anataka kutoka nje ya ndoa yake kirahisi sana kwa kushawishi mke wa mtu?
 
Back
Top Bottom