ndo maana ukapita SAM NUJOMA maana kiu si ndo anakaa huko siku hizi,
ungelala mkekani ungepita ile nyingine ile
(katikati ya mistari sijapaona biggy)
Kale ka fevareti batan ketu kwenye JF version 2 nadhani unakalipia ndo ukagonge.
Kama wapita njia ya Sam Nujoma tumezuiliwa, hao wateja watafikaje hapo hata kama biashara hazijafungwa?
Hivi ile namba ya simu umeamua kuibinafsisha kijumla?kaka njoo usalule t
kako wapi vile?
sikaonagi nikajua kametolewa, maana hata mi sigongewi hata nikotoa mapwenti kama ya mzee wa Mbayuwayu (nasikia mnamwita 'kipeuo cha pili' aka skwea ruti)
kako wapi vile?
sikaonagi nikajua kametolewa, maana hata mi sigongEwi hata nikotoa mapwenti kama ya mzee wa Mbayuwayu (nasikia mnamwita 'kipeuo cha pili' aka skwea ruti)
Kwa nini watu hawakugongei? labda point zako zimejificha ficha.
Mzee wa mbayuwayu ndo nani?
Tafadhali isije ikawa unamsema rais wangu? Ohoooo!
hahaaaa we Nguli wewe kwani hata wewe huzioni? umeacha KUSOMA KATIKATI YA MISTARI SIKU HIZI??
kwa vile sioni nikigongewa, tena kabatani sikaoni basi nikajua Invisible alikatoaga kwenye hii vesheni mpya!!!
He he he Meku watuachie Rais wetu banaMzee wa mbayuwayu ndo nani?
Tafadhali isije ikawa unamsema rais wangu? Ohoooo!
Haya mimi wa kwanza kukugonga hio thanks
Sidhani hiyo gharama inaweza zidi zile wanazolipa IPTL,Dowans bila kuzalisha kitu etc kwa siku bongo tambarare kila kitu chawezekana!!Malls za Mlimani City zingefungwa Serikali ingeweza kweli kuwalipa fidia wafanyabiashara wa pale kwa hasara ambayo waingeipata kwa kutofanya biashara kwa siku hizi tatu
Sidhani hiyo gharama inaweza zidi zile wanazolipa IPTL,Dowans bila kuzalisha kitu etc kwa siku bongo tambarare kila kitu chawezekana!!