Labda useme madent,mke gani atakubali akafanyie appointment mlimani city sehem ambayo kila mtu anaenda na hata kama ukiwa mgeni huchukui round unakutana na mtu mnaefahamiana
1.Huna hela.
2. Huna hadhi ya wanaokwenda pale.
3. Inferiority complex.
4.wivu wa kijinga/ kike.
5.Demu wako aligongewa pale parking.
6. Hujui kingereza, mind you wengi wanaokwenda pale wanaongea ki-beberu.
7. Una demu/mke lakini yupo valu-valu na kutembea naye unaona aibu.
8. Limbukeni na huna ustaarabu, huwezi kuingia KFC na kula Pizza kwakuwa unaona unapoteza fedha.