Mlimani City

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,510
2,000
DSM magari ni mengi kuliko watu, hapo kuna wahuni wamepaki magari yao alaf ofisi ipo Posta Mpya
Hapana, kwa saa moja unalipa 500, posta bei ni hiyo hiyo, kwanini upaki hapo uende Posta?
Hapo ni sehemu za miadi za kukutania wake za watu na vi-ben 10, wake za watu wanagongewa sana maeneo hayo na guest za Sinza.
Pia kama unataka kijana wa chuo hapo ndio unapopatia.
 
harder king

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
3,778
2,000
Kipindi nasikia neno mlimani city na lilivyokua linapambwa nikafikiri ni sehemu rafiki kwa kila raia,hyo siku nimetokea zangu mkoan kwetu nikaamua kwenda kupatembelea si nikaenda sehemu ya kichek movie nikaagiza sprit take away na papcon kwenye malipo si nikahisi mhudumu kasahau alicho nihudumia.
 
MTOCHORO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
3,459

Sprit gani hiyo inanywewa na Popcorn?
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
8,860
2,000
Hapana, kwa saa moja unalipa 500, posta bei ni hiyo hiyo, kwanini upaki hapo uende Posta?
Hapo ni sehemu za miadi za kukutania wake za watu na vi-ben 10, wake za watu wanagongewa sana maeneo hayo na guest za Sinza.
Pia kama unataka kijana wa chuo hapo ndio unapopatia.
Labda useme madent,mke gani atakubali akafanyie appointment mlimani city sehem ambayo kila mtu anaenda na hata kama ukiwa mgeni huchukui round unakutana na mtu mnaefahamiana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom