Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
Yo yoo nambie mremboo[emoji41]...halafu mbona hukuja sasa..Nina kazawad kakoWe bichwa

Mpenzi mmoja mkewe tu labda awe hajaoa ila hao wengine kusafisha rungu tu lazima pesa itembee kwa wengi sasa apate mmoja tu si uchoyoJamani jamani mlimani city pale wadangaji ni wengi hatari tena V.I.P
Wanawake wanadangia mabwana wenye pesa huku Wanaume wakidangia majimama wenye pesa hususan raia wa kigeni na wale Maprofesa na lectures wa vyuo jirani hapo.
Masponsar nao wamejaa mlimani City mall.
Ushauri wa bure kwa watu wote kuliko kudanga it is better ukawa na Sponsar mmoja tu akawa mpenzi wako jamani.
Na nyie sponsors mtulie jamani khaa mtu anao wanawake kama 8 na wote anawapeleka mansion shopping ya nguvu bado pale piza hutt samaki samaki bill inakuja laki 2 khaaa everyday kweli vyuma havijakaza kuwa na mpenzi mmoja tu michepuko sio dili.
Kwa hali hii bora nibaki single tu sina pesa za kunsponsor[emoji1322]
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy new year... NitakujaYo yoo nambie mremboo[emoji41]...halafu mbona hukuja sasa..Nina kazawad kako
Haujapata Classic girl uliyekuwa unamtaka hapo ?Jamani jamani mlimani city pale wadangaji ni wengi hatari tena V.I.P
Wanawake wanadangia mabwana wenye pesa huku Wanaume wakidangia majimama wenye pesa hususan raia wa kigeni na wale Maprofesa na lectures wa vyuo jirani hapo.
Masponsar nao wamejaa mlimani City mall.
Ushauri wa bure kwa watu wote kuliko kudanga it is better ukawa na Sponsar mmoja tu akawa mpenzi wako jamani.
Na nyie sponsors mtulie jamani khaa mtu anao wanawake kama 8 na wote anawapeleka mansion shopping ya nguvu bado pale piza hutt samaki samaki bill inakuja laki 2 khaaa everyday kweli vyuma havijakaza kuwa na mpenzi mmoja tu michepuko sio dili.
Kwa hali hii bora nibaki single tu sina pesa za kunsponsor[emoji1322]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kubisha ,kama asingekuwa mndangaji asingewajua hao wanaodanga!! Ni washindani wenzie!Akilibishia hili nitamshangaa mno.
KapichaHukubahatika hata kupata kapicha japo kamoja mkuu, tuone namna gani hali ilivyo?
Msikie ThaboKutongoza ni jambo lingine na Kukubaliwa ni jambo lingine pia.