Mlimani City watu wanadanga balaa yaani ni hataree

Mlimani City watu wanadanga balaa yaani ni hataree

Jamani jamani mlimani city pale wadangaji ni wengi hatari tena V.I.P

Wanawake wanadangia mabwana wenye pesa huku Wanaume wakidangia majimama wenye pesa hususan raia wa kigeni na wale Maprofesa na lectures wa vyuo jirani hapo.

Masponsar nao wamejaa mlimani City mall.

Ushauri wa bure kwa watu wote kuliko kudanga it is better ukawa na Sponsar mmoja tu akawa mpenzi wako jamani.

Na nyie sponsors mtulie jamani khaa mtu anao wanawake kama 8 na wote anawapeleka mansion shopping ya nguvu bado pale piza hutt samaki samaki bill inakuja laki 2 khaaa everyday kweli vyuma havijakaza kuwa na mpenzi mmoja tu michepuko sio dili.

Kwa hali hii bora nibaki single tu sina pesa za kunsponsor[emoji1322]




Sent using Jamii Forums mobile app
Basically, wengi ni wale wale wa sehemu nyingine. Pale wanaenda kuongeza bei tu.
Ni kweli kupanga duks Somora avenue haiwezi kuwa sawa na Mwenge.
 
Ushauri wa bure kwa watu wote kuliko kudanga it is better ukawa na Sponsar mmoja tu akawa mpenzi wako jamani.

Huu ndio ushauri wako si eti?👆👆

Haya Hongera,mdangaji mkubwa wewe...
 
Ngoja Leo niende jioni hii nimeuza mbuzi kadhaa nina vi laki vitatu ngoja nikajaribu hao wadangaji
 
Back
Top Bottom