mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
mi huwa napak ddc pale nje! utalikuta salama mara mia, kuliko kuingiza ndani gari!Tanzania tunatia aibu,nchi za wenzetu unapack gari unaenda kufanya shughuli zako kwa amani,yaani mlimani city ukienda na gari huna raha.
mi nikikamata namtumbukiza office pins kama tano hivi tumboni, nazizamisha kabisaa.......akahangaike nazo kama mimi nitakapkuwa nahangaika kutafuta site mirror zangu.
mi huwa napak ddc pale nje! utalikuta salama mara mia, kuliko kuingiza ndani gari!
hahahahaa.....utapitisha kupitia mlango gani? wa juu au wa chini? am just kyuriaz...
TZ eleven au?...........hahahahaa!mie huwa naingina nalo ndani kabisa hadi kule supamaketi...
hahahahaa.....
office pins unazikata vichwa, unamdinga kama sindano tumboni, inaingia na kuishia ndani....atasema nazo baadae..hapo hakuna ushahidi.
au unachukua spoku ya wheel chair.....unainoa mbele.....unaitumbukiza kushoto kwa tumbo inatokea kulia, unaichomoa unaondoka zako......hakuna alama inayobaki....
DONT TELL NO BODY!
TZ eleven au?...........hahahahaa!
mi nikikamata namtumbukiza office pins kama tano hivi tumboni, nazizamisha kabisaa.......akahangaike nazo kama mimi nitakapkuwa nahangaika kutafuta site mirror zangu.
Hivi wale walinzi wanaokaa juu ya vibanda wanafanya nini? Inbidi siku moja wageuziwe kibao wapate mkong'oto wao ndipo watakapojua uchungu wa mali za watu.