Mlima Kilimanjaro washinda Tuzo za World Travel Awards

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,233
Breaking News!!! Mlima Kilimanjaro washinda Tuzo za World Travel Awards zilizofanyika Zanzibar kama kivutio kinachoongoza Afrika.

Tanzania tumepata tuzo 6, Kenya wamepata tuzo 21
1. Africa's Leading Beach Resort- Diamonds La Gemma, Zanzibar
2. Africa's Leading Luxury Lodge- Singita Sasakwa Lodge
3. Africa's Leading Tourist Attraction- Mt Kilimanjaro
4. Africa's Leading Safari Lodge- Four Season Safari Lodge, Serengeti
5. Africa's Leading Low cost Airline- fastjet
6. Africa's Leading Private Island Resort- & Beyond Mnemba Island Lodge, Zanzibar.
 
Back
Top Bottom