Kwa mara ya kwanza kabisa ,katika historia ya mpira miguu nimeshuhudia mabadiliko ambayo yanga hawakuyatarajia , umati wa washabiki uliojitokeza kuishabikia timu yao ya mbeya tofauti na kipindi cha nyuma , ambapo tulizoea kushabikia Yanga na Simba sasa inatoweka , na wshabiki kuanza kupenda vitu vya nyumbani.dosari iliyojitikeza ni kulishambulia basi la wachezaji, jambo ambalo lilisababishwa na wao wenyewe wakidhani bado wanaoendwa.Mbeya city tutaendelea kuwashangilia kwa moyo mmoja na nguvu moja mjitume daima.