Mlevi na rafiki yake

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
3,988
Reaction score
1,310
Mlevi anarudi na rafiki yake mgeni nyumbani kwake na kuanza kumuelekeza hii ni nyumba yangu na lile ni gari langu,wakaingia ndani wanalikuta njemba limelala na mke wa mlevi bila wasiwasi mlevi anaendelea kuelekeza kile ni kitanda changu, yule ni mke wangu na yule aliyelala naye ni MIMI
 
teh teh teh aiseee hiii ni kalii mzee daah inamaana jamaa hata hajijui kua ni yeye..!
 
Teh pamoja na kuwa mlevi pia ni kilaza
 
Hiyo pombe alokunywa itakuwa haipo dunia hii ya leo
 
dah...! kwa mtaji huo siongexzi tena moja for the load kha? yan jamaa hajijui kweli hii kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…