The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 258
Polisi:Nimekuja nyumbani kwako kukupa taarifa kuwa ajali ya gari imetokea, inasemekana mke wako amefariki,naomba twende ukaangalie kama utaitambua maiti.
Mme mlevi: Potezea bhana usinisumbue,kama vipi mpige picha halafu upload facebook then unitag ukiona nime LIKE ujue ndo yeye.
Mme mlevi: Potezea bhana usinisumbue,kama vipi mpige picha halafu upload facebook then unitag ukiona nime LIKE ujue ndo yeye.