Mlevi hakosi sababu!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,057
Reaction score
973
MKE WA MLEVI:Mume wangu ulisema huu mwaka mpya 2013,utabadirika na kuwa mtu mpya kabisa na pombe utaacha,sasa mbona bado unaendelea kunywa pombe?
MLEVI:Hapana mke wangu si kwamba sijabadirika,nimebadirika na kuwa mtu mpya lakini tatizo na huyu mtu mpya naye anapenda pombe.
 
ha ha ha ha huyo mlevi ndio lakini amechanganyika na uzuzu ndani yake
 
Amenikumbusha mlevi mmoja ambae alisema yeye ameacha kabisa kunywa pombe isipokuwa akiwa ni mpweke sana,au akiwa na kampani ya rafiki zake,au ana huzuni , au anafuraha, au akiwa na mawazo mengi....
 


haaaaaaaaaaaaaaaaaaa kweli huyu hakosi sababu
 

jamani, the mlevi ana digrii ya kunywa pombe, and that counts for a new man and personality...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…