Mlango wa nyuma wa Kickass.so torrent site

Mlango wa nyuma wa Kickass.so torrent site

haijafungwa mbona kickass.to na pia usipende kutumia hizo website zenye subdomain utalizwa muda si mrefu.

hio website inaitwa dotpirate.me na ina act kama proxy baina yako na site za torrent

kwa lugha nyengine kila unachofanya kwenye site za torrent mmiliki wa dotpirate anajua maana wewe unaagiza kitu kwake then yeye ndio anaenda kuvichukua na kukuletea. ni nzuri maeneo ambayo torrent wameiblock ila sio safe
 
kaka mbona mi siipati kickass.to toka jana? haijafungwa kweli?
 
inapatikana vizuri tu hapa nilipo napakua movie ya a good day to die hard(2014) bila shida yoyote
 
Kickass.to nikiifungua kwa Mozilla inagoma ila kwa chrome iko sawa....shida nn hapo wakuu???
 
wakuu kwa kutumia opera or mozilla ni shida. ila pia kuna site kama extra torrent. cc na torlock.com zote ziko poa kama torrent tu
 
wakuu kwa kutumia opera or mozilla ni shida. ila pia kuna site kama extra torrent. cc na torlock.com zote ziko poa kama torrent tu

opera na chrome ni browser moja tu kinachofunguka chrome kinafunguka opera
 
Back
Top Bottom