M mwanyaluke JF-Expert Member Joined Jan 22, 2015 Posts 773 Reaction score 2,587 Jun 8, 2022 #1 Hivi wanaoweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni nini?
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,910 Reaction score 15,677 Jun 8, 2022 #2 Kumchelewesha/kumpa ugumu mwizi kuingia ndani.
Tuna JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,823 Reaction score 2,475 Jun 8, 2022 #3 Weka picha ya Mlango wa mbao na Geti la Chuma kwenye Mlango mmoja nasi tuutambue
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,769 Reaction score 3,266 Jun 8, 2022 #4 More security,
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,556 Reaction score 4,162 Jun 8, 2022 #5 mwanyaluke said: Hivi wanonweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni Nini Click to expand... Huo wa chuma unakuta una uwazi wazi.....ukiwa nnje unaona ndani....hapo ndipo anaweka mwingine wa mbao kwa ndani. 1 ulinzi 2 urembo
mwanyaluke said: Hivi wanonweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni Nini Click to expand... Huo wa chuma unakuta una uwazi wazi.....ukiwa nnje unaona ndani....hapo ndipo anaweka mwingine wa mbao kwa ndani. 1 ulinzi 2 urembo
Dr Msweden JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 2,628 Reaction score 9,564 Jun 8, 2022 #6 Haujawahi kuibiwa wewe
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,701 Jun 9, 2022 #7 Siku hizi kuna milango mitatu 1. Geti la chuma 2. mlango wa mbao 3. Mlango wa aluminium wenye fingerprint
Siku hizi kuna milango mitatu 1. Geti la chuma 2. mlango wa mbao 3. Mlango wa aluminium wenye fingerprint
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 4,215 Reaction score 6,348 Jun 9, 2022 #8 Tuna said: Weka Picha ya Mlango wa mbao na Geti la Chuma kwenye Mlango mmoja nasi tuutambue Click to expand... Hichi kiswahili???
Tuna said: Weka Picha ya Mlango wa mbao na Geti la Chuma kwenye Mlango mmoja nasi tuutambue Click to expand... Hichi kiswahili???
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,947 Reaction score 102,709 Jun 9, 2022 #9 Ushamba tu. Siku hizi vibaka ndo wamezidi, majambazi hayapo. Vibaka wanapita madirishani
Mge Jr Senior Member Joined Apr 22, 2020 Posts 159 Reaction score 183 Jun 11, 2022 #10 mwanyaluke said: Hivi wanaoweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni nini? Click to expand... Ni kwa ajili ya usalama ndio maana inakuwaga kwenye milango ya kuingilia ndani ya nyumba.
mwanyaluke said: Hivi wanaoweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni nini? Click to expand... Ni kwa ajili ya usalama ndio maana inakuwaga kwenye milango ya kuingilia ndani ya nyumba.
U Ujenzi chanika Member Joined Jul 22, 2022 Posts 15 Reaction score 6 Jul 25, 2022 #11 The Knowledge Seeker said: Hichi kiswahili??? Click to expand... Ha ha haaaa kinasumbua sana