mlango wa dvd haufunguki!??

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
126
Reaction score
50
heshima kwenu wakuu naomba mnisaidie nimeweka dvd kwenye mlango wa dvd rom (laptop) naitoa sasa hivi haikubali naomba mnisaidie nifanye nini niweze kuitoa,nimejaribu kwenda my computer kuitoa inakataa,nimejaribu njia ya kawaida haitoki pia, nini naweza kufanya,
natanguliza shukrani
 
kaka,kesi ndogo xana kwani chukua pini,alafu hapo kwenye hyo dvd rom yako,utaona kitundu kidogo,then ingia hyo pini!mpango utakuwa umetiki
 
Acha woga mkuu ni njia sahihi tu hiingilii kitu chochote tena wawaza fanya hata pc ikiwa off

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

ok ngoja nifanye nitakupa feedback!,thanks by the way,
 
Hilo tundu ndo kazi yake...Tafuta pini!!!
 
Naona mwoga huyu sasa kama hatuamini kilichomtuma aje kuuliza huku kitu gani?
weye Rounysilman ebu tumbukiza pini kwenye hicho kitundu na uisukumize kwa ndani mlango utafyatuka huo
 
ahsanteni wakuu imekubali nilikuwa na wasiwasi but thanks kwa kunivumilia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…