Mkwere na ahadi hewa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwere na ahadi hewa.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Mar 9, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kipindi cha kampeni kimekwisha na wote natumaini tulikuwa ktk kuwasiliza na kuzichambua hoja ,ahadi,sera za wote wenye kugombea nafasi mbalimbali,.Usishangae hata wewe pia ulishiriki either directly or indirectly ...wagombea wa vyama vya ccm,cdm na cuf ndo walitoa ahadi tamu tamu ,lakini kwa wakati huu napenda kuzikumbuka ahadi za mkwere.,huyu kiumbe alipendezea kweli na alifit ktk ahadi alizoropoka,alituahidi tz yenye maziwa na asali ,matokeo ni tz yenye shubiri na achali...aliahidi kununua bajaj 400 kubeba mama zetu wajawazito lol !!hata baiskeli hajanunua ,je kununua hzo bajaj inataka hadi hela za wafadhili ama ?aliropoka pia kuhusu kujenga machinga complex zingine nyingi tu ..hatuelewi elewi anajenga wapi hewani au baharini,misingi haionekani?kuna ahadi niliipenda ya kuifanya kigoma kuwa kama dubai teh teh teh teh,hao mzee aliua kabisa ,ataaongeza maslahi ya wafanyakazi ,matokeo yake ni aibu tupu,kweli akili za kuambiwa changanya na zako....ahadi ni nyingi zinakera,zinaudhi ,zinachefua hasa hasa kama hakuna mwelekeo wa kwenda kuzitekeleza....naelewea beyond any shadow of doubt that mkwere ana mambo mengi,safari nyingi kwenda nje ,ratiba yake ime-tight hata nachelea kusema ANASAHAU AHADI ZAKE,CDM,GREAT THINKERS NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA NA TAIFA LA TZ,shime tujifunge mikanda TUMKUMBUSHE MKWERE ,tumwambie AHADI NI DENI MJOMBA.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Aisee, mbona unataka kuchafua hali ya hewa ya humu janvini?, tazama: dsm kuna machinga complex moja nayo imegeuka kuwa danguro, hizo sita zikijengwa zitafanya nini?!, akinunua hizo ambulance wagonjwa atawapeleka wapi?: tazama hospital zote nchini hazina madaktari na wauguzi- hawezi kuwaajiri kwa kuwa fedha zote ziko mikononi mwa wafadhiri wake wa uchaguzi: kigoma kuwa dubai?!- huu ni mkoa usio na barabara hatamoja kwa sasa, hana fedha za kujenga brbr, anafedha za kujenga kasri yake pale msoga: hebu tujadiri namna ya kuikomboa nchi yetu kutoka mdomoni mwa huyu serpent.
   
Loading...