Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
hivi mama tangia lini baba kawa mganga wa jadi? au ndo mwaka mpya na mambo mapya?
we mtoto usimuulize hilo swali mama yako.
Baba yako ni mganga toka zamani sana,ila mwaka huu atauza siunajua tena mwaka wa uchaguzi huu . . . .