MKWE KAZUA MPYA

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?

Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy"
mama mkwe hoii!! Chezea Wakwe Wa Bongo wewe.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Muda wa kulala Bado nipo na Design......
 
Nikikito huzi Fact za maana JF wanaiba wanapeleka kwenye jukwaa la wakubwa then kwangu wanaufuta ni bora nipost utumbo tu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…