Mkwawa University inawaka Moto

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Nipo hapa Iringa , Pembezoni ya Shule yangu ya zamani Mkwawa , kuna Jengo wanaita Hall 6 linaungua , jengo hili ni hostel za wanawake , bado moto unawaka sana ! bila shaka litateketea Lote !
 
Itakuwa ngeleja na washa zima zake
 
taharuki hapa ni kuubwa ! mabinti wanalia ! na Giza limetanda mwanga mkali hewani ! Lol inatisha sana
 
na fire za kibongo watafika late afu bila maji.pole kwa wahanga
 
Nipo hapa Iringa , Pembezoni ya Shule yangu ya zamani Mkwawa , kuna Jengo wanaita Hall 6 linaungua , jengo hili ni hostel za wanawake , bado moto unawaka sana ! bila shaka litateketea Lote !

Mungu aapishie mbali hasara itakayokabili Taifa...
 
kuna watu wamejeruhiwa kiasi kutokana kukurukakara za kukimbia moto lakini maiti sijaona kwa macho yangu
 
Kikosi cha fire kimewasili hapa ! yaaani ni kituko tu ! hawana msaada kabisa
 
Haya majanga ya moto Tanzania shuleni na vyuoni mpaka lini?
 
Hakuna waliokufa au kujeruhiwa?

tumia lugha nzuri, huwezi kiwa pro vifo, ungeuliza kiwango cha madhara yaliyosababishwa na huo moto, ungeelezwa pamoja na hilo ulilolitarajia kwanza kama lipo.
 
Chanzo cha moto ni Ngeleja na malima wanakata na kuwasha umeme kila dakika as if hawajui madhara yake.
 
Nipo hapa Iringa , Pembezoni ya Shule yangu ya zamani Mkwawa , kuna Jengo wanaita Hall 6 linaungua , jengo hili ni hostel za wanawake , bado moto unawaka sana ! bila shaka litateketea Lote !

pole sana mliounguliwa na hostel..
 
Back
Top Bottom