Baba kadoda aka mwalimu ndosi ( kama sijakosea) bado yupo, yes, ndio, sawa hata mkuu anaelewa, kutana na mwalimu mbabe mwaipajaLumumba West ( pamba production) LWP2 Kwa Tozi M (Mwaituke) Wazee wa usafi kwa Afya zetu siyo kwa mashindano. Hahaha mabingwa wa kukaa Love square.
That life bwana hadi biashara za Kobe kwa Wadenish. Na mambo ya bottoms up!!!
Such a wonderful moment.
Astaghafilullah! Tutake radhi sisi watu WA "Chaka LA Dog" haraka sana!HahahahaaaaaMasatu alikuwa mnoko, ila shabani east lilikuwa bweni la wavuta bangi sana, ni kama makongoro east
Aisee!Mbona umemsahau Chuwa.Chuwa naye alikuwepo. Wapi Ngui alternatively known " as Baba Kadoda!Mama uswege uliamuacha na maandazi yake, na aikambe, na nelkon
MakwayaBaba kadoda aka mwalimu ndosi ( kama sijakosea) bado yupo, yes, ndio, sawa hata mkuu anaelewa, kutana na mwalimu mbabe mwaipaja
Busanji amefariki mwaka huu January, alikuwa akifundisha Marian Boys Bagamoyo.Jamani mimi namtafuta mwalimu Busanji kuna mtu anayejua yuko shule gani au contact zake? Alikuwa mwalimu wangu wa miaka ya nyuma na hesabu yake aliyonifundisha hadi leo bado inapanda na ninawafundisha wanangu.
Makwaya
Mimi nilikuwepo 1975 - 1976 mkuu.Nauliza kama hapa JF wapo waliopitia Mkwawa High School miaka ya 1974-75?
Mpaka ulanzi tulikuwa tunapata hukohuko.Makanyagio si ndio tulikuwa tunapata wali na maharage, tulikuwa kila siku tunakimbizana na NGUI.
Wewe ndio umekaa Mkwawa kwa Kipindi kirefu, na ndio mwenye current updates kwa sasa...Nimepiga pale 2003-2005 na Nikarudi chuo pale 2011-2014.Mama masawe anafundisha mawelewele,Makwaya yupo town Iringa.Tende yuko Mbeya,Mbao kastaafu nilimwona dar 2010.Ile dispensary kule mtivila imekua bomba sana.Makanyagio za zamani ni zilipendwa.Mabweni sa ivi ni halls.
Nilimsumbua sana huyu mwaipaja karibia wiki 2 ananitafuta bila mafanikio, hatimae akatangaza parade tu nimfate ofisini tu, alivyoniona ofisini alicheka sana na kudai mtu mwenyewe na vituko vyako hauendani na hata mkononi hujai, nenda zako kasome, tukawa marafiki mpaka naondoka, kama atakuwepo lenasco mbilinyi, englibert mpilikilwa naomba waniinbox hawa watu, asanteUnamkumbuka Teacher Mwaipaja... kila nikimkumbuka nacheka kwa vituko vyake ...pwaaaaaaaaa!
Dah mwanangu nasoma comments zako kwa hisia kali sana.Wanachuo wengi wamepanga nje ya chuo.Wengine wanakaa ilala,makanyagio,Flerimo.Na wengi wanaokaa huko wanakua kama wanaishi kimahusiano.Na pia wenye familia hupanga huko.wanaokaa chuo wengi ni 1Year's.Dah kuna mambo mengi sana na mengine ntayaleta nkipata mda.