hahahaaaa manyanga umenikumbusha mbali, jamaa alikuwa anajidai haendi DH yeye na gembe lake kumbe kwa hela za pasi, viatu na suruali za wizi, kweli jamaa alijua kupenda...nakumbuka jinsi tulivyosimamishwa paredi mhalifu atafutwe, ashukuru bila polisi nadhani tungemla nyama mwizi mkubwa....
Nafurahi sana kuwapata hapa watu wa Mkwawa. Kweli jamani mahali pale pamebadilika sana. Mnaikumbuka 'gallery'? pale zimejengwa ngazi nyingine tena, zinaonekana ukusimama pale 'bomba tatu'. mpo?
ni kweli nilikuwa gembe kipindi hicho ila sisi ndio wale ambao ni kama kawaida never miss DH, umejitahid saaaana makanyagio...au kuwahisha kibakuli kwa wa-mama once per month!!! ,